Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

Na kocha chali. Naona Mgunda akirejea.
 
Nakubaliana sana na wewe mkuu maana hata kwenye changing room jersey ya Ally Salim ilikuwepo ila nimeshangaa imekuwaje.

Kwa hiyo jamaa waliuza mechi siyo?
Nchi hii, Leo Ally Salim amekuwa wakuliliwa? si juzi tu mlikuwa mnasema Manula arudi. Kwanza hakuna hata goal moja unaweza kumlaumu Manula, yalikuwa ma goal ya kawaida kipa yoyote anaweza kufungwa.
 
Simba Simba, sio nyinyi juzi mmetoka kuipokea team kutoka Egypy m
 
Simba Simba, sio nyinyi juzi mmetoka kuipokea team kutoka Egypy m
Simba Simba, sio nyinyi juzi mmetoka kuipokea team kutoka Egypy mkasema tumetoka kwa kanuni tu. Sio Simba walisema kwanini Kapombe na Mohd Hussein hawaitwi team ya Taifa. Leo wamekuwa wazee, wamechoka... Mimi nilidhani huko tumepita mambo ya miaka ya 90. Leo team ziko level ya juu, kukubali kuna siku mechi inawakataa kabisa. Ziko team hata Barcelona, Man u, Brazil kuchezea vipigo goal 6 mpaka 7 lakini mechi inakuja nyingine wanajipanga, hatusikii haya.
 
Hata mi huyu jamaa huwa nikipitia nyuzi zake hubaki na alama flani ya kujiuliza maana hukinzana sana hasimami na hoja 1.
 
JF wakupe tu kila mwaka tuzo yako ya jukwaa la Sports.
GENTAMYCINE
 
Kufungwa hatukatai, lakini kugongwa goli tano ni aibu mno!

Vs Azam zinakuja kuwa mara mbili yake ikiwa mpira utachezwa kama ule vs Yanga.
 
wewe unachangia kuharibu mpira wa nchi hii kwa kujifanya unajua sanaa. ARSENAL ILISHAWAHI KUFUNGWA 8 NA MAN U Tuseme nao walihongwa? tuache ujuaji kwenye mambo yanayohusu kazi za watu
 
Jisome kwanza hapa halafu urudi kusoma thread yako tena


Tukubali hoja ipi kati ya hizo zote?
 



Kama yanga anaweza kumfunga Al ahly, kwa nini simba ionekane watu wamekula hongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…