Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba ccm ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love , ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu , Hawa ndio wenye ccm , katika kundi hilo wewe haumo , maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco , naamini bado hujasahau .
Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.
Achana na Chadema jikite kwenye weledi , hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza , kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5 , kuwa makini mno !
MAJUTO NI MJUKUU , Usije kusema hatukukuambia .
Fanya utafiti wako binafsi kwa majirani zako na ndugu zako wa karibu,utagundua zaidi ya asilimia 90 ikifika saa mbili kamili usiku wanaangalia taarifa ya ITV.Erythrocyte, TBC ndio nambari 1 kwa sasa, usifanya chuki zako dhidi ya CCM kuwa issue ya Taifa. Upinzani hauna maana tena
Utakubaliana na Mimi kuwa majirani zako asilimia kubwa na ndugu zako pia ikitimu saa mbili kamili usiku wanaangalia taarifa ya ITV.TBC ndio channel inayoongoza kwa kuangaliwa na na watu wa rika zote kwa local channel
Utakubaliana na Mimi kuwa majirani zako asilimia kubwa na ndugu zako pia ikitimu saa mbili kamili usiku wanaangalia taarifa ya ITV.TBC ndio channel inayoongoza kwa kuangaliwa na na watu wa rika zote kwa local channel
Usio wa kawaida ukoje nduguUchambuzi wa kawaida sana ukiwa free-minded, CHADEMA wame-panick.
Erythrocyte, TBC ndio nambari 1 kwa sasa, usifanya chuki zako dhidi ya CCM kuwa issue ya Taifa. Upinzani hauna maana tena
Bado sana maana hawana jipya.Ni zile zile propaganda mfu za miaka yote,kuwapa majina wapinzani wa kweli na kuwakandamiza kinyume cha haki za binadamu na kisheria.TBC wameji-update na aridhio wako vizuri siku hizi angalau inatazamika.
Mzee baba unaandika sana mapovu jukwaaniKimeingia, kimeuma hauwezi kujibu unarusha ngumi hewani
Nilichoandika cha uwongo ni kipi??
Wafanyabiashara hao lazima watalemea CCM
Mara ngapi mnawaambia watu wasisikilize clouds na bado ina wasikilizaji wengi?
Mara ngapi hao clouds wanatoa coverage za chadema?
Kuweni genuine na roho yako...nyie ndio mnakataaga wazazi wenu kuogopa watu
Jibu hoja, sitaki kukutukana, maana hauniwezi na sijawahi kushindwa
CDM ina miaka 25 sasa hawana TV, Radio na channel za maana wewe unataka mtu binafsi na utashi wake aache kufanya cha kumuingizia hela kisa akauogope wewe?
Huu umaskini wa akili mnautoa wapi? Au mbaona kila mtu yuko JF, Twitter na insta? Kitaa kila mtu ni clouds na hawana mawazo yenu ya ki patriotic but very childish kama wewe....
Hio aridhio ni kipindi ama kitu gani?TBC wameji-update na aridhio wako vizuri siku hizi angalau inatazamika.