Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Mbona mnatumia vitisho na kashfa ili mpate kuungwa mkono??? Ya enzi hizo za coco beach etc haina maana Adui yako au wake wakati ule asiwe rafiki yake sasa .
Hujui huusiano wake na Mpungwe na Group lake na Joseph upoje n.k.

Mbona mnaongelea vitu kitototo, kwa kujifanya wa mjini na coco beach ya enzi hizo na kuziweka akili hizo sasa hivi.

Maneno haya yanatakiwa kuongelewa na watoto wetu sio sisi.
 
Apa chadema ndio tunapokoseaga kuzusha vitu vila fact dah unatukosea heshma kabisa
 
Asubuhi nimeangalia clouds sasa hivi naangalia TBC chuki unayotaka ienee haitafanikiwa
 
Nimeangalia YouTube Clouds 360 ya jana soni scheme yeyote mbaya kwa chadema. Zaidi ya kuhiliza nini THAMIRA utaijuaje THAMIRA kwa chama kinachotaka kuiondoa CCM na kubadili hilo basi. Sijaona sehemu inayosema vibaya
 
Ondoka wewe, tena kimbia kwa kasi
 
umeongea mzee baba...chukua 5
 
Hahahhahaha... Hebu nisaidie namba za hao uliowataja nikiona kuna za voda pia, itabidi mzibuliwe hiyo miubongo yenu maana akili zenu mmeshikiwa
 
Ninyi mnaona fahari kuwakosoa wengine ila ninyi mkikosolewa ni tatizo. Mnataka huru wa habari freedom of speech sasa hao wanaongea mnaona kama wanawakosea.

Kweli akili zenu mnazijua wenyewe.

Bora hao wametumia akili katika kuwasilisha hoja zao tafauti na ninyi mnavyotukana.
 
Amka mkuu. Kumekucha. Kama unadhani kuna nyumbu wa kuwadekisha lami na kuzungusha mikono, basi unajidanganya
 
Wakati wanahangaika kuji brand hiyo juu wala haikuwepo
Tatizo la kutumia makamasi kufikiri. Mnadhani midia zote ni kama JF!!?
Nyumbu wana mchango gani kwenye midia zingine?
Mnajiliza sana na kuishi maisha ya kudeka na kutaka kubebwa bebwa. Mwisho wenu October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…