Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Aiseeee !!!
 
Huyu mungu wa nyumbu mbowe ni nani hadi asijadiliwe?
 
Kukaa na kumjadili mtu ambae hakusanyi kodi zako na kuzitumia huo ni zaidi ya upumbavu
 
Wanao chukia na chadema tu. Wengine wapo sana tu. Mbona wanatafuta wakina JJ na Mch Msingwa awapatikani. Mbowe anakimbia. Anataka wafuate nyumbani kwake. Na anatafuta tu
 
Watangazaji wa Clouds karibia wote ni wanaccm na waligombea ubunge na udiwani lakini walifelishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Ni Masoud Kipanya pekee ndio hakuchukua fomu.

Hivyo ni sahihi kabisa kwa Clouds media kualika makada wa CCM kwenye vipindi vyao na kuwatosa wale wa Chadema.

Kazi Iendelee!
 
Acha uongo nan kagombea na Jimbo gani eti karibi wote Paul James aligombea Jimbo gani.sasali je Barbra je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…