La ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
Hili linavyopenda Sifa Linafuraia kupata Corona, kaona hatangazwi kaamua ajitangaze Mwenyewe
Ms Rose Marie Compaore, who was the first-vice president of the parliament of Burkina FasoEnyi Wadanganyika, huu ugonjwa wa COVID 19 kwa Waafrika ni mafua tu. Kuna Mwafrika ambaye amewahi kufariki au kufa kwa mafua? Msipotoshwe na wanasiasa wa CCM.
Hawa sasa naona wanahamasisha corona haiuwi ukiugua unapona wamepatia manake watanzania wengi matomaso wanataka mpaka wadondoke kama china waanze kuandika historia ya kukanyaga kwa miguu mpaka Tabora ,Moshi bila kupanda gariMeneja wa Diamond athibitisha kukutwa na corona Meneja wa Diamond athibitisha kukutwa na corona.
===
Meneja wa Diamond Platinumz, Sallam Sk atangaza kupata Corona
Sio kwamba wamejipima wenyewe mtaani na kujitangaza.kuna kitu hakiendi mbna wanajitangaza wenyewe, ndo mfumo ulivyo kwa sasa, kila mtu anajifanyia vipimo vyake na kujitangazia anaumwa, tutafika kwa style hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu inazua sintofahamu sana kwa kweli. Wanapitaje pale Airport?
Inawezkana kweli last December niliumwa homa Kali sana na mafua nikapima vipimo vyote hola!! Nikanywa Panadol tu vikapoteaHuu ugonjwa ulikuwepo toka last year Dec na wizara husika haikujua ni ugonjwa gani zaidi ya kusema tuu kwamba ni homa kali na itaisha. Nadhani kuna mchina aliupeleka huko Wuhan
Shida ni kwamba serikali yetu imeonyesha wazi kuwa hatuwezi kuzuia wageni kuingia Tanzania, kwa muda mfupi (sijajua kwa nini inawezekana uchumi ukayumba sana) ndio maana kama wageni ni muhimu sana basi tuwahifadhi kwenye uangalizi sehemu moja kabla ya kuwaruhusu kujichanganya na watu wengine. Hizi ni hatua nchi za Afrika zilizochukua kudhibiti ugonjwa huu.Practically hilo litakua gumu mkuu, kama vipi wafute safari zote za ndege na kufunga mipaka ili wageni wasiingie kabisa Tanzania.
Itawezekana vipi kwa mfano wageni zaidi ya mia kwa uchache kabisa wanaingia nchini kupitia viwanja vya ndege au mipaka ya barabara na bahari uwazuie uwaweke mahali kwa siku 14! Hata nchi zilizoendelea haziwezi kufanya hivyo
Naomba kuuliza hao watu sita(6) wote walijitangaza kabla ya kutangaza serikali kuhusu kuuguwa kwao?Juzi nilisema lazima kuna kitu katika hili sakata la corona
Maana ukiangalia data za wagonjwa duniani na wanaokufa hutapata mwafaka.
Kuna kasiri ndani ya corona .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia nna wasiwasi na huu ugonjwa kuwa ulikuwepo coz mwezi ulopita katikati niliandamwa na kikohozi na mafua ambayo yalinisababishia homa mpaka kwenda kupima bt as you know hospital zetu ni mwendo wa malaria ukizingatia kichwa kilikuwa kinaniuma ndo kabisa.Huu ndio ukweli haswa,nov-dec kulikuwepo na hali ya ajabu sana haswa dar na Arusha watu wamelazwa sana na homa haijulikani ni nini malaria si malaria wala dengue.
kweli ww ni mzimuMhariri
Moderator
Paw
Invisible
futa uchafu huu piga ban kabisa huyu mtu anafanya mzaha na ugonjwa huyu kwa kitaka VIEW
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π π π πingekua hivi kujitangaza public kwa virusi vyote..
The authorities say the patient was a diabetic woman aged 62 years. Some reports on social media say it is a top lawmaker, Ms Rose Marie Compaore, who was the first-vice president of the parliament.Ms Rose Marie Compaore, who was the first-vice president of the parliament of Burkina Faso
Burkina Faso's records first COVID-19 death in sub-Saharan Africa | Africanews
Corona virus is overrated mkuu.
Huu ni ugonjwa wa mafua na kifua kama magonjwa mengine ya kawaida mfano wa cold flu na pneumonia.
Ugua pole mzee Philip ManguraMbongo anaweza kunywa sumu na isimuue akabaki kuharisha na kutapika, sembuse hayo mafua.
Sent using Jamii Forums mobile app