Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

Ukiwa toothless dog unadhani kuna kiongozi atashtuka, utabweka tu lakini huwezi kung'ata kwa hiyo aacha tuendelee kupambana

Kulalamika sio njia sahihi ya kuondoa tatizo binafsi Mimi Kama naishi nchi za watu ambao ni self-center huwa naweka bajeti Kali ili niweze kusur-vive katika nyakati za jua Kali na mvua Kali.


Ukiitegemea serikali utaumia Mara 100
 
Boda boda mpya 1lt inapiga 50Km
Ikishakuwa chakavu inapiga 35-42Km
Ukienda kuibana cableta inapiga 55-60Km

Kwa rate hiyo mtu unaweza kukaa bunju na kufanya kazi kariakoo kwa Lita 1 tu go and return ambayo ni 3200 per lita.

Kwa common sense kutoka bunju had kariakoo huwezi kumkosa abiria hata 1 ambaye ukimuambia akupe buku 5 au buku nne hawezi kukataa.
Sasa ukipiga hesabu umeenda na kichwa kimoja kakupa elfu 4 means kakulipia hela ya mafuta.

Kurudi umepata kichwa kingine kakupa buku 4 means umepata hela ya msosi kazini.

Kwa mantiki hii hautakuwa na kuhangaika na mshahara wako.

Note. Service za boda boda siyo ghali na kubwa kinachotakiwa ni kubadilisha oil kila baada ya week 2 au siku 10. Na hiyo oil ni buku ,8-10

Kwa boda boda ambayo private haiwezi kupata hitilafu.

Bei ya boda boda, polisi unaweza kuuziwa kuanzia laki 5-9.

Za mtaani kuanzia laki 8-2M
Ukienda dukani jipange na 2.6-3.1M

Kupanga ni.kuchagua.
 
Dah nmetoka kupiga jana tu hesabu ya mwezi maana nlidownload app ya budget playstore ambayo nilikua naandika kila income na expenses nlizokuwa natumia mbona macho yaligeuka mekundu na nguvu kuniisha

Maana daily 20k mafuta gari
Daily 20k home na hapo baadh ya vitu vipo
Bills umeme,maji nk 50k
Chakula job 10k hpo ndo kujibana
Vocha
Na mengineyo.
NB;
Sinywi pombe wala si mtu wa starehe
Umefka mwsho wa mwezi Expenses zimegonga 3m+ nikawa kama nimemwagiwa maji
 
Unajitafuta kimaisha katika mazingira hayo unakula chakula cha mchana ili ugundue nini.
 
Sema na kuishi mbali sana jau,
Hapo mkuu kama hio ratiba ni kweli nakuonea huruma,

Sometimes tunakimbilia viwanja vya bei rahisi ila mara mia ulipe pesa kubwa upate sehemu nzuri sio kujificha huko porini.
Muache ajenge kwanza,avamiwe na wahuni,atamani kuja kununua mjini ha pesa yote amejengea. Teh teh teh
 
Tatizo ni huyu zuzu anaye tuongoza sasa kazi pekee aliyo mudu ni kunya basi
 
Inasikitisha sana, wenye mamlaka wanaona sio jukumu lao kuset standard of living kwa watu wao baadala yake wameacha kila kitu out of control.
Sometimes tuache kulalamikia serikali kila siku,

Wew unajua una kazi ya kudumu kkoo,
Unaenda nunua na kujenga nyumba huko kibaha kwa mfipa tena ndani kabisa, unataka serikali ifanyaje ?
Sometimes tusikwepe majukumu yetu na uzembe wetu wa kupiga hesabu, mtoa mada angejua maisha yake pengine angejichanga zaidi apate kiwanja karibu na kazini
 
We bwege tunakujua ni muongo muongo tena dalali njaa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…