Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

Na bado mkuu! Wakulima na wao wanapanga wawe na chama Chao kitakachokuwa kinapanga bei za mazao yote ya chakula.
Wanadai kilq mtu ale urefu wa kamba yake.
Pandisha ghalama za usafiri, napandisha bei mazao.
 

kwahiyo kama unafanya kazi Kariakoo, ujenge Magomeni, Sinza, Keko, Chang'ombe nk, unajua bei ya maeneo karibu na hiyo unayosema kariakoo.

Watu wanaopt kukaa mbagara na huko Kibaha kutokana na bei ya viwanja kuwa rahisi maana hata hapo kwenye viwanja napo hapana control.

Serikali inajukumu kubwa kufanya standard ya maisha ya watu wake inakuwa nzuri na pia ina jukumu la kufanya bei za bidhaa na huduma zinaendana na uhalisia wa watu wake.

Kama Serikali inashindwa kucontrol mifumo inayopandisha gharama za maisha kwanini tusiilaumu, kama serikali imeshindwa kucontrol bei za mafuta, imeshindwa kujenga miundo mbinu na kurahisisha huduma za usafiri kwenye miji kwanini isilaumiwe?
 
Rais Samia aione kwenye jalada
 
kuna lile PUNGA linaitwa LUCAS MWASHAMBWA halielewagi haya mambo,lenyewe kazi kusifia tu
 
Unafanya kazi kkoo, unashindwa kwenda kimara ? Malamba mawili humo viwanja kwa 7M unapata ukubwa wa kutosha na hivyo unatumia 1000-1500 kufika job,
Sasa unafanya kazi kkoo halafu unanunua uwanja kibaha ndani ndani huko sehemu ya wew kupanda boda kufika barabaran,

Huu ni uzembe wake, asiilamu serikali
 
Nikimwangalia huyu mama naona kabisa hamna project yoyote pale kichwani.... Wanaume kuongozwa na mama dizaini ile ni aibu.
Unakuta nauli ilikuwa inapaswa kuongezwa shiling 100 pekee ila wameongeza 200 ili baadae wapunguze hio 100 kwa kumpa promosheni mama samia ili aonekane ana huruma sana na watanzania

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Serikali ipi kaka unayozungumzia? Hii hii ya ccm iliyojaa walafi wabinafsi machawa na mafisadi? Hii haiwezi kufanya lolote kuset living standards, bali itafanya Kila kitu kukamua Kodi na kuneemesha matumbo yao tu.

Kwa sasa kila raia apambane kivyake kuboresha maisha yake mwenyewe.


Lakini watanzania nao ni wa kulaumiwa, maana mambo kama haya yanayogusa maisha yao yakitangazwa michakato yake huwa wako busy na umbea, vigodoro, singeli ngono fumanizi , Simba na yanga. Hawana habari . Utekelezaji ukianza ndio wanajifanya kushituka
 
Na bado mkuu! Wakulima na wao wanapanga wawe na chama Chao kitakachokuwa kinapanga bei za mazao yote ya chakula.
Wanadai kilq mtu ale urefu wa kamba yake.
Pandisha ghalama za usafiri, napandisha bei mazao.
Hao ni wafanyabishara wa mazao a.k.a walanguzi wanataka kuwaua Watanzania wenzao kwa jina la wakulima
 
  • Kumbe ndio sababu kuu ya kampeni ya KATAA NDOA! I
  • kiwa kijana ana uwezo wa kujihudumia mwenyewe na akabakiwa na akiba hawezi kakaa fahari ya kuitwa MME.
  • Kumbe maisha ni magumu hivyo huko town ndio maana umri ukienda mnaona bora mzae kama wanyama - dume halijui kuhudumia mtoto wala mtoto hamjui baba wala ndugu wa baba. NI HATARI!
 
Absolutely right, but ktk jiji hili ambalo limesheheni magari na idadi nzuri tu ya madereva makanjanja, risk ya kutumia boda iko juu sana!
 
Sasa mkuu ukisema gari inakula 1L kwa 10-12km/hr, utawafanya watu waendeshe kwa speed hiyo ili wasitumie wese jingi, kumbe hata wakienda kwa speed kubwa, kiasi cha wese kuliwa kitakuwa kile kile cha 1L kwa 10-12km.
 
Nilishaacha kitambo kupiga mahesabu haisaidii maana haya mafisadi hayana huruma yanatunyanyasa kama mashetani vile.

Wategemezi nao hawajui kuwa kuna mabadiliko kiuchumi sasa hapo ndipo utajua kuwa hujui.

Na ukija kwa raia huku navyo walivyo wazito unabakia kupambana tu na hali yako.

Ipo hivyo.
 

sasa mkuu huko Kimara na Maramba si ni yale yale tu, bora useme Keko, Chang'ombe, Magomeni, Kinondoni, Manzese nk.

Lakini pia mkuu, hakuna anayependa kuishi Kibaha ndanindani, umasikini mkuu, jamii ya kubwa ya Watanzania ni masikini.
 
Absolutely right, but ktk jiji hili ambalo limesheheni magari na idadi nzuri tu ya madereva makanjanja, risk ya kutumia boda iko juu sana!
Kati ya usafiri ambao hauna risk naweza kusema boda boda.
Boda n umakini wako dereva tu.
Ukiona huwezi kupita main road unaweza kupita service road.
Kwani Kama ukipita high way na ukafuata Sheria utapata changamoto gani?

Mf kwenye mataa ukasimama na kwenye kuendesha ukakaa Lane yako hapo huwezi kupata ajali kizembe.

Ajali nyingi za boda boda ni uvunjifu wa Sheria unakuta
kwenye Mataa unaforce kupita
Unapenya Kati Kati ya roli na basi
Una overtake basi au roli kwa pembeni au upande wa dereva .

Ila ukiwa smart njiani hutopata ajali za ki puuzi.
Kingine Kama huna uwezo wa kubeba wawili chukua abiria 1 tu mwepesi.

Nyongeza

Boda boda.
Hakai foleni
Hakaguliwi na polisi
Hatoi hela ya ku brush viatu
Hapigwi mkono na polisi

Kupanga ni kuchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…