Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

[emoji23][emoji23][emoji23] eeh, nachukiaga haka katabia. Ndo maana nilipachukia kkoo. Sasa narudi tena. Yaan kitawakaaa.. kidudu nakipiga rirasi chaaap aache ujeuri maana ndo kinambust ukichaa.
Huwa unasikiaje lakin wakikushika[emoji23][emoji23]
Basi uwe wapita nikushike Mimi tu
Japo nimecheka kweli.
 
Huwa unasikiaje lakin wakikushika[emoji23][emoji23]
Basi uwe wapita nikushike Mimi tu
Japo nimecheka kweli.
Aisee, nachukia mno mtu kunishika ovyo mwili wangu popote pale hata ukucha. Kuna siku ktk office yetu palikua na shortage ya wahudumu. Sasa pakatokea ugomvi kati ya mteja na mhudumu. Kuclear ikabidi niende kutatua na kuwasikiliza. Lile jamaa lilishakufaga. Limepasukaga mdomo alipataga ajali ya fuso. Actually wateja wetu wengi ni wa malori na mafuso. Wamekya familia yetu. Sasa huyu jamaa huwa ni mkorofi mno na dharau. Nilipienda si akanishika ziwaaa. Kmmk nilizidi kuwa mweusi, yaan nikasema naokota chupa nimpasulie kichwanjmi ama nifanyeje. Anamwambia mhudumu si unaona mtoto wa boss wako hana hata nyodo hapa wewe unaringa nn wewe. Jaman sitasahau nilijikazaaa. Ili tu kilinda wateja tusipoteze maana walijaza meza ile. Ni wengi huwaga kundi lao. Nikawahudumia vinywaji halaf nikaenda kupumzika usingizi na machozi juu. Yaanii hapana. Kunishika maumbile yangu ni dharau sana. Sipendi.
 


Imekuwaje mtu mwenye tabia za ubishi na ulevi anamilikishwa bastola?
 
Nitag huo uzi niusome. Nimesikia jamaa ni usalama wa taifa
 

Heeee!
 
Pole Sana manka
Ila umenikwepa [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
 
Mkuu hili povu ni la kwetu wachaga pekee au tunagawana na shemegi zetu? πŸ˜€πŸ˜€
December tutakuwa na vikao huko migombani kurekebisha mambo,endelea kutuamini mkuu
 
Sure kuna mzee wetu uku afisa mkubwa tu wa police tumemzika kwa majibu tu ivi ivi ya kirahisi
 
MiBs juzi nimebeba wageni wa watu nikawapeleka wakajua nataka kuwakaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakaomba tuhame [emoji23][emoji23]
Ile Bar imekaa location ya ajabu kweli huku magereji huku Bar! Kwa usalama sio pazuri kabisa pale wakija wazee wa Kazi wanakusanya simu zote na hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dakika 5 tu mmesafishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…