David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

Hana uwezo huo, acha fananisha Mwenyekiti Lissu na watu wepesi, ungemtaja Prof Kabudi ,ningekuelewa kwa mbali
 
Kabudi kwenye data sio mzuri sana
So kafulila ana lipi la ajabu kama sio kupika data kumfurahisha mteule wake?

Hana jipya , kama ana jipya basi nataka mdahalo naye.

Ikumbukwe kwenye cheo chake kuna watu wanao chakata data na kumpa , asipewe sifa ambazo hazistahili
 
So kafulila ana lipi la ajabu kama sio kupika data kumfurahisha mteule wake?

Hana jipya , kama ana jipya basi nataka mdahalo naye.

Ikumbukwe kwenye cheo chake kuna watu wanao chakata data na kumpa , asipewe sifa ambazo hazistahili
Mtafute Odemba Kafulila sio Mbowe wa kukimbia midahalo
 
Nipe no ya Odemba tafadhali kama upo nayo , ili nimnyooshe Kafulila , nitamtoa nje ya ulingo mapema sana , nchi hii ipo na watu / viongozi janja , janja sana
Wewe una title gani kwenye hii nchi ili upambane na Kafulila au mkunja ngumu tu wa CHADEMA?
 
2mbili ndio amsumbue lisu?
 
Unamsikiliza huyu Dalali ?; Tunahangaika kujadili Matukio wakati in really sense mambo hayaendi.

Yaani kwa Resources za Tanzania ni mambo yanavyokwenda ni aibu; alijisemea Nester Marley, In abundance of Water a Fool is Thirsty...

Case in point tunamuita Adani ili aje awekeze (Tanesco) tukijua kwa kufanya hivyo bei itaongezeka wakati huo huo tunapigia udalali gesi LPG wakati ni gharama zaidi ya mara mbili kuliko watu wakipikia umeme (Kijijini) Sasa hao watu kama vitu simple kama hivi wanawadangaya wananchi itakuja kuwa vitu tusivyoviona ?
 
Kumbuka huyu bwana mdogo kafulila ana gpa ya 2.2 BBA pale mlimani. Lisu ana gpa 4.9 LLB. Hivyo ni maji na mbingu
 
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba, mama hana jeuri ya kupambana na Lissu kwenye hoja na sio mama tu, huko ccm hakuna mwenye uwezo wa kumfikia Lissu kihoja na kiushawishi na ndio sasa umekuja na pendekezo la kampeni meneja awe Kafulila. Swali langu kwako, why unaona bora Kafulila awe kampeni meneja na haukufikiria kwamba yeye ndio awe mgombea urais kwa tiketi ccm mwaka hu? Kwa kufanya hivo, Lissu atakua anajibiwa na mgombea mwenzie badala ya mtu kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…