David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

Ndio mtu pekee anaweza kumnyoosha
Ndugai alisema mataifa mengine duniani hutafuta watu wa juu kiakili katika kuingia mikataba mbali mbali kati ya nchi na na nchi , na yupo sahii nileteni Kafulila, ndio amekua Mbunge ila kwenye mdaharo nitamkamua mpaka aseme Yesu ni Bwana
 
Ukifuatilia Bunge la 2010-15 utaelewa kwanini Kafulila na Lissu wanaweza kutoshana nguvu kwenye majukwaa ya kampeni
 
Kweli Yesu ni Bwana ila Lissu hamuwezi Kafulila kwa hoja hata kidogo
 
Ukifuatilia Bunge la 2010-15 utaelewa kwanini Kafulila na Lissu wanaweza kutoshana nguvu kwenye majukwaa ya kampeni
Una humwa , nimesema Prof kabudi kwa mbali , na shida inakuja dr Nshala tiyari ni mjumbe wa kamati kuu ,ccm jipange kabidhi madaraka mwaka huu, vinginevyo ICC inawaita kwa kasi sana Asema Bwana
 
CCM Sasa Hivi Jahazi Imezama
YULE DC Wa Kisarawe Anayesema Mpeche Mpeche
 
Kumaanisha
 
Mbona hata kwa data za sasa za World Bank Tanzania inapitwa vibaya sana hata na jirani zetu Kenya tu?

Katika kipimo ambacho 1 ni "most business friendly" Kenya wana 56 na Tanzania wana 141.

In fact Rwanda imewaangusha hata Kenya kwa kuwa na score ya 38.

Hii nayo anaibishia bado?

Mhhh
 
Ya lini hii?
 
Kafulila ni sawa kabisa, Siasa za Sasa sio za maguvu ni hoja kwa hoja
 
Huyo ni Dalali/3rd part/Middle man wa Adani Group.
 
Ya lini hii?
Wameacha kuchapisha hizi lakini data za mwisho ni za 9/16/2021.

Hata tukiacha data za World Bank, na kuangalia sehemu nyingine, Tanzania inapitwa vibaya sana na Kenya na Rwanda, by any objective measure, which is the main point, a point which Kafulila is not addressing.
 
Naona kila kada anashambulia kwa zam, ndio option iliyobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…