Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

Kama haukuchepuka , njoo nikupe tuzo.
 
Dah inaumiza sana basi tu
 
Wewe na yeye wote mnahitaji fimbo nyingi sana watoto wa kichina wanawaza viwanda nyie mnawaza Mapenzi tu
Muda ambao watoto wa kichina wana design engine wewe umekesha kwenye thread yangu na unasoma comment? Unaakili kaka?

Muda huu kuwa busy na kazi weka kipato na sio JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…