Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

Hilo lipo wazi...kama akikuacha mazima basi haukuwa target na hakuwa na wewe bali alikutumia tu
Action and Reaction..., Kama ni mtu anapenda kubembelezwa na kudeka na ulikuja kwa gia za kubembeleza na kudekeza alafu all of a sudden umegeuka kuwa a closed book unategemea ataendelea na feelings za honeymoon ?

Kwahio sio alikuwa anakutumia bali kile alichobargain kukipata na hiki kwake ambacho kimekuja kuwa kituko ni vitu viwili tofauti (sababu kati yenu ni wewe ndio umebadilika na sio yeye); Ushauri; Gia unayoingia nayo katika kutafuta ndio endelea nayo katika maisha don't be someone else na unayempata beba mzima mzima na mapungufu yake (You can not teach an Old Dog New Tricks)

 
Kuna wengine vichwa maji. Uwe tayari kuachana endapo ukimlia buyu naye akakulia buyu. Halafu hii nadharia ina uhalisia mdogo sana kwa mahusiano ya ndoa.
 
Hii formula huwa inafanya kazi ukiwa na pesa bro.... ila kwa msaka tonge usijaribu kama haupo tayari kuwa single 😁😁😁

Niliwah test hii vita nikaja kupokea kadi ya harus, maana ukiona mwanamke anakufanyia hzo drama jua Kuna mume mwenza kishaingia

Note: Ukiwa na pesa mwanamke atakucheat ila hatokuacha.... usipokuwa nazo atakucheat na atakuacha kabisa na kuolewa mchana kweupeee✍️
 
Kabisa amani yako haiko kwa mke wako siku hizi na akijua kuwa akikaa kimya anakuumiza hapo utateseka Cha msingi ndio hivyo achana na mazea naye kupita kias na kutengeneza utegemezi kwake na pia mwanaume unatakiwa usiwe muongeaji sana Bali kias tu
 
Ni kujishusha sana, mimi huwa napiga mara mbili kama isipopokelewa nikiona n jambo la muhim sana naandika ujumbe.

Kwa mtu anaejali akikuta missed call lazima arespond ila asiporespond namimi natulia na mambo yangu.
 
Kimsingi wewe ulikuwa unalazimisha uhusiano ila baadae ukajitambua. Yote uliyoorodhesha kuwa ulikuwa unayafanya kabla ni mambo ambayo HUTAKIWI kuyafanya kwenye uhusiano.
 
Ni wachache sana wenye uwezo wa kukaza kuanzia mwanzo. Mwanzo wa mahusiano mengi huwa kuna mihemko na kutumia hisia badala ya akili.
 
Kuna wengine vichwa maji. Uwe tayari kuachana endapo ukimlia buyu naye akakulia buyu. Halafu hii nadharia yako ina uhalisia mdogo sana kwa mahusiano ya ndoa.
 
Silent is power siku zote,,, but inaweza ikawa toxic power to punish (to make someone chase you) or health power to protect your peace!!!
 
Hii ndo njia ambayo Huwa naitumia na kiukweli Huwa inanisaidia kwa kiasi chake japokuwa Mara nyingi hata huyo mwanamke nakuwa Sina tena muda nae Kama zaman hii inapelekea hata mahusiano yangu kutodumu

Kwa sababu kubembeleza mtu ambae nampatia kila kitu kwa kweli naona ngumu

Nikifukuzia mwanamke siku tatu na nikaona Hana muelekeo wowote Huwa namkaushia na hata akija kujirud Mimi nishafika mbali mno kiasi kwamba siwezi kumrudia kinachofuata hapo ni lawama kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…