DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi.

View attachment 3356498
DC Msando huelewi nini?

Aeleze kitu gani kilichotokea?

Nyie wafunga makanisa, wazuia watu kuabudu Mungu ndo elezeni nini kimetokea hadi mnazuia watu kuombea taifa na kumwombea Tundu Lissu na wengine walio kwenye madhila ya utawala wa Jezebel..

Mchungaji na Askofu Josephat Gwajima, ratiba yake ni maombi ya siku 7 (Seven days uninterrupted fasting and prayers) kuanzia tarehe 2 - 8/6/2025 na alipo haruhusiwi polisi au kiongozi yeyote wa serikali ya kidunia kusogea hadi atakapomaliza mission hiyo...

Baada ya hapo, straight na mchana kweupe tutakwenda naye Kwa ofisi ya RPC Afande Muliro kusikiliza ujumbe wake alio nao

Kwa hiyo, DC wewe si saizi ya Gwajima. Tuliza makalio yako, endelea na shughuli zako
 
Gaidi,anaogopa polisi
 
Gaidi kakimbia polisi
 
Gaidi kakimbia polisi
 
 
Inasemekana jamaa walikuta mizigo Fulani.
 
Makombora yanaendelea kwenye ulimwengu wa roho. Maombi yatakapokamilika na watesi watakuwa kwa magu ndipo atatoka.
Mungu hana time na wazinifu wewe Mungu ni msafi na anapokea maombi tu ya watu watakatifu na sio wazinifu kama Gwajiboy porn masta.
 
Mungu wangu nisaidie sana nisijue kuwa miongoni mwa watumishi wa CCM pamoja na kwamba ni mwanachama

Nilikuwa nikisikia kuwa ukiwa mwana CCM unakuwa kama kichaa anayesubiri muda wa kuokota makopo,sasa nimeamini hakika jnawezekana🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…