Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
kwani wanamtafuta? sidhani kama ana wanted/ arrest warrant!Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
Kumbe kwenye kanisa lake walifuata ninikwani wanamtafuta? sidhani kama ana wanted/ arrest warrant!
Anatafutwa?Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
Kanisani kwake walifuata niniAnatafutwa?
ni nani anamhitaji gwajima gentleman? anatafuta kiki ya kijinga sana dah!Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
why Gwajima? why not watekaji ??Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
walienda kuombewa!Kumbe kwenye kanisa lake walifuata nini
Kuna mengi yanaendelea, kuliko Yale unayoyaona,Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
Acha ujinga wapi serkali ikisema inatafuta gwajima ,msimpe umuhimu wa namna hiyo.Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
Serikali inamuogopa gwajima Leo ni siku ya Saba inahaha tuAcha ujinga wapi serkali ikisema inatafuta gwajima ,msimpe umuhimu wa namna hiyo.
Ussr
Kama ni hivyo hata la lisu linaweza kuwa kiini macho tuKuna mengi yanaendelea, kuliko Yale unayoyaona,
Hili swala la gwaji boy, linaweza likawa kiinimacho kimetengenezwa na ccm, kwanini!?
Swala la Lisu na mateso ya kutisha waliofsnyiwa wanaharakati wa Ug na Kenya, limeleta joto Kali Sana kwa samia na ma ccm wenzake, sasa ili kupunguza ukali wa hayo Mambo katika kujadiliwa Sana, inability itengenezwe "bongo muvi" ndio hili swala la gwaji sasa!
Sasa hv watu wanamuongelea gwajima kuliko Lisu,
Kesho utasikia Mond kamuacha Zuchu, Zuchu kaondoka wasafi kaenda kwa Kings music!
Kamkamate kama unamuwezani nani anamhitaji gwajima gentleman? anatafuta kiki ya kijinga sana dah!
na mbona amejificha kichwa tu mgongo uko wazi?Tz unajificha wapi ikiwa unahitajika?🐒
Hahaha eti mkono mrefuMkono mrefu uliopigwa ganzi nzito.Hauhisi chochote hata ukipapasa kitu,macho yamekufa na masikio ni kiziwi.
Uliyokunya wewewewe ni mavi