Mkuu kama wewe ni mfia imani ya ulozi hiyo ni imani yako,bado na wewe una uswahili wa kutujua nini maana ya imani.Kuamini miujiza ya imani hii na kuipinga ya upande mwingine ni kituko.Afrika ulozi upo sana tu..sema wafia dini za wazungu na waarabu watabisha.
Chamsingi omba yasikukute.
#MaendeleoHayanaChama
Unapinga[emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Acheni kutupiga fix jamani. Madereva wa long trip za Bongo tu ndiyo wanakutana na vitu vingi na siyo sehemu nyingine duniani![emoji1787][emoji1787]
Hapana.ni msigwa yupi huyo, huyu alokuwaga mbunge au ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuyeyuka?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimpigia tu full light na honi
Duuuhh..!!!mbona hatari ukikwepa unakutana na ajali na ukigonga unakutana na msala vilevile sa tufanyeje hapo....????Mauzauza yapo barabarani,ilikuwa ni ghafla sana nilishutukia kitu kama Mbwa anakatiza barabara,sikutaka kumkwepa kwani umbali ulikuwa ni mdogo sana na ni usiku,nikamgonga na ngao ikapasuka nikasikia kabisa imedondoka na vipande vimepasuka kwa chini,Nikasimama kama mita 300 kuangalia nikakuta kweli imepasuka,nikasema ngoja nirudi labda naweza kuokoa baadhi ya vitu vilivyo dondoka,siku ona Mbwa,wala kilichoangauka,wala damu.Yani barabara ni nyeupe kama hakuna kilichotokea,kesho yake nikapita mchana ili niangalie vizuri sikuona chochote,ukichukulia kuwa pamenyooka kabisa.Nikaulizia wanaopafahamu wakaniambia hapa hivyo vitu vya kawaida sana.Wanaojua njia ya Babati Arusha karibu na daraja la Kiongozi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuyeyuka?
Kauli hii huwa siipendi, basi tuu!pole sana dada Halima, Mungu akupe subra na akufanyie wepesi
Kabisa. Hizi story za madereva ni alinacha! Ninavyojua mimi binadamu ukikaa bila kulala kwa muda mrefu pamoja na uchovu kuna uwezekano wa kuona maluweluwe ambayo hayapo.Unapinga
Akubali tu alishindwa kulimudu gari kwenye kona kutokana na kuwa katika mwendo mkali. Hayo mambo ya kumkwepa mtu anaye mfahamu, na kushindwa kulimudu gari na kupinduka; ni utetezi wa kufikirika.
Yaani ni sawa na mtu afanye kitendo cha ubakaji, halafu ajitete eti Shetani alinipitia! Alikupitia kwenda wapi!
All in all, pole nyingi kwake. Hata mimi niliyaona yale mahojiano yake na yule mwandishi wa Azam Media.
Hilo linawezekana.
Uchovu, mawazo, mwili kuishiwa maji na safari za nenda rudi zisizoisha zinapelekea upatwe na hallucinations
Una chuki sana we mbuziAfrika ulozi upo sana tu..sema wafia dini za wazungu na waarabu watabisha.
Chamsingi omba yasikukute.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani gari zake zinapata Sana ajaliMsigwa huyo akaweka kiini macho ili dereva aangushe gari, abiria wafe yeye apate kafara, huyu baba atatuua wangoni wote khaaah.
Tutamchoka na tutamfurusha km mwenzie Ottawa. Msieeew zake.
FursaMchangieni jamani acheni roho mbaya!
0626452699
Jina litakuja Saadiya Shekhe Mbwana
mkuu nyeto na safari kuna uhusiano?Ufafanuzi tafadhali.Mkishauriwa msipigenyeto kabla ya safari mnatuona
Kama vile mtu alikuwepo kwenye mboni za halima.Mtu anasema alichokiona anakuja mtu kumpinga.
Hii imekaaje !