Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Watanzania wengi ni waongo waongo na wafuata mkumbo. Ukiwauliza source za uongo wako wanaanza kukuona wewe ni mpinga dini.Yani zinashangaza kwa kweli🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wengi ni waongo waongo na wafuata mkumbo. Ukiwauliza source za uongo wako wanaanza kukuona wewe ni mpinga dini.Yani zinashangaza kwa kweli🤔
Kwani Shetani ni kitu gani hasa!!?Freemason wamemtumia kuharibu watu mwishoee wamemtupa huko.. Shetani ndivyo alivyo anakutumia lengo lake likitimia nakutupa na kukucheka
Huyo mwamba ni mpaka mafuta zaidi ya mwamposa, nilikuwa natazama CNN, jamaa alikuwa anamiliki mtandao mkubwa wa ngono tokea miaka ya 1990s, acha nae akapakweWatanzania wengi ni waongo waongo na wafuata mkumbo. Ukiwauliza source za uongo wako wanaanza kukuona wewe ni mpinga dini.
Unaijuwa Cnn?Huyo mwamba ni mpaka mafuta zaidi ya mwamposa, nilikuwa natazama CNN, jamaa alikuwa anamiliki mtandao mkubwa wa ngono tokea miaka ya 1990s, acha nae akapakwe
Kwahyo mpaka naandika unadhani Mimi kichaa ama!Unaijuwa Cnn?
Wewe wasema.Kwahyo mpaka naandika unadhani Mimi kichaa ama!
Shetani ni kwenda tu kinyume asili ya ubinadamu... Shetani doesn`t exist...Kwani Shetani ni kitu gani hasa!!?
MkuuUtajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si rahisi kukataa kwa utakayo amrishwa.
Sasa huenda pia huyu kijana (P Didy ) ni miongoni mwa ma devil worshippers na mtihani alipopewa ndio huo wa kuwalawiti wanaume wenzake tena wale ambao sio mashoga kabisa.
Kwa akili ya kawaida inaonekana kabisa hili ni shinikizo maana si rahisi mtu mwenye akili zake timamu awe vile alivyo .
Kwa alipofikia kutoka si rahisi na mwisho wake umekuja vibaya sana kila mmoja anamnyooshea vidole .
Hili liwe funzo pia kwa wengine wapenda utajiri wa shortcut ipo siku utatakiwa kuulipia tena kwa gharama kubwa sana ambayo kwa namna moja au nyingine inashusha utu wako na unaonekana kituko kwa wanaokutazama.
Shetani ni jini aliyekuwa miongoni mwa kundi la malaika na hatimaye akamuhasi Mwenyezi Mungu na kupewa laana ya milele.Kwani Shetani ni kitu gani hasa!!?
Unataka kusemaje kwani?Kuna ambao ni Maskini,hawana umaarufu,, utajiri Wala mafanikio na wanamtumikia Mungu mnoo Lakini Wanapitia zaidi ya anayopitia Didi
Hii inafikirisha sana.Mkuu
Kwa mtazamo wangu
Based on stories from diddy victims and friends
Ni kwamba Diddy ndie aliyekuwa anapakwa mafuta kuliko yeye mnavyomshutumu kuwaingilia wezie.
Sababu ni hizi.
Victim wake wote kwa asilimia kubwa wana act masculine kuliko yeye.
Na yeye sikuzote anawatake advantage kipind ambacho victim wake wapo vibaya, unakuta wengine ni new comer walikuwa wanataka kutoka kwenye game.
Chunguza.
Kama ni sacrifice basi ni Diddy ndiye aliyekuwa anasacrifice uanaume wake ikiwa kama sehemu ya ibada na mafanikio.
Alikuwa anafanya na celebrities ambao wapo desperate kuwa top kwenye au wale ambao wamefulia na kupotea kweny game
Mfano:
Tyson, The game, Meek mills na wengime kibao,
Nakutajia victim wa diddy then useme je didy aliwapaka au alipakwa mafuta.
Ja rule
Fabolous
Usher raymond
Justin biber
Fonzworth Bentley
Notorius Big (ilibidi aanze kwenye list)
TI
Tyson
50 cent ( hakunasa kwny mtego)
Rick ross
Member wa bad boy
Kama uliwahi sikiliza interview za former diddy body guard anaitwa gene deal .
Mara kibao diddy ana act suspect mbele ya wanaume wezie
Mzingatie
Najaribu kusema P diddy kama alikuwa anawaingilia wezie sawa lkn kwa mfatiliaji mzuri utagundual Diddy ndie amepakuliwa sana kuliko anavyowapakua wezie
Fokiria
Eti upewe pesa kwa kuwapakua wezio?? Think
Ni miaka mingi sana diddy alikuwa akishutumiwa kuwa ni gay anaepakuliwa .
Lini?Shetani ni jini aliyekuwa miongoni mwa kundi la malaika na hatimaye akamuhasi Mwenyezi Mungu na kupewa laana ya milele.
ChaiNasikia didy kaiyambia serikali ikimshtaki tu anavujisha picha na video akiwapaka futa viongozi wakubwa nyumba yake yote inakamera Yani kasema ni ubaya ubwela mwaga mboga nimwage ugali
Ni projects za muda mrefu sana.Mkuu, haya mambo yanaenda kwa stage after stage, si ajabu hata mimi na wewe tunaweza kuwa hatupo Duniani wakati yakitimia...
Kabisa mkuu.Kama nadharia ya devil worshipping ni ya kweli, basi ina maana huyo devil hana nguvu kihivyo, maana anakamatika kirahisi na waandishi wa habari na vyombo vya dola.
Mimi nafikiri huyo bwana Diddy ana matatizo yake tu sawa na wale wanaopenda vitoto, au wanaopenda kupiga wanyama, mizoga na maiti.
Sio rahisi kama unavyofikiri.Mkuu sijaelewa kwamba kuchukuliwa kwa kanisa inaweza kuwa ni process ndefu hata tukafika uzeeni miaka 80 bdo ni process tu?
Mbn.mim najua ni paap kama umeme?