Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

Hapa umewamaliza kabisa ,safi sana kwa ufafanuzi murua,wasipokuelewa Shari yao,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikwambia katiba inabadilishwa kwa vifungu vya dharura?,kajipange upya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilaza ktk ubora wake
 
unabadilishaje kipengele cha Katiba bila ridhaa ya wananchi?
 

Kama wanachekesha cheka basi mpaka njia ya haja kubwa ifunguke ili unenepe
 
Mwandishi wa Post hii ameonesha udhaifu wake wa kujitambua na kuzitambua haki zake, haiingii akilini kukabidhi kwa mtu mwingine jukumu la kupata haki zako. Kila raia mwema anayeipenda nchi yake anawajibika kupaza sauti u
kuitaka serikali imtimizie haki zake za msingi za kuchagua na kuchaguliwa bila kuingiliwa, simama dai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Ilishaelezwa kuwa katiba sio kipaumbele kwa sasa. Sasa atadaije katiba mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha siasa ndio platform ya kisheria inayopaswa kuunganisha watu wenye mawazo mbadala ya kisiasa. Makini vyama vyetu vya siasa ni vikundi vya fujo wakati chaguzi zinapokaribia, eti leo ndo wanadai tume huru badala ya Jana. Katiba yetu inasema wazo ni nani anateua tume na wakurugenzi wa tume. Tulidhani vyama vyote vya upinzani vingejikita kwenye kubadili kipengele hicho cha katiba kinachokinza uundwaji wa tume huru.

Vinginevyo wanachofanya sasa ni fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…