Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

Lengo la padre Kitima kuwapandisha madhabahuni hao watu lilikuwa ni lipi? Na je, alifanikiwa?

Mliokuwa kanisani tunaomba majibu.
 
Wagalatia kimyaaaaaa, roho kwatuuuuuu,
Kanisa linaendesha inchi,

Ngoja mashehe watoe tu mawazo usikie hizo fujo sasa,
Oooh hakuna kuchanganya dini na siasa, kama vile wao hapo wanafundishana unyagoπŸ”¨
Waislamu tatizo hawana point kwa sababu wana ufinyu mdogo mno wa mambo yanayoendelea yanayohitaji elimu kuyachambua...wao kazi yao ni kukariri tu mistari mfano angalia wasomi wa kiislamu kama mwaipopo na mziwanda wanadai serikali yeyote duniani lazima iue watu kwahiyo hilo ni jambo la kawaida tu...angalia hata wakati wa mkataba wa bandari masheikh walilihamishia kuwa watu wanaupinga mkataba huo kisa ni waarabu tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Lengo la padre Kitima kuwapandisha madhabahuni hao watu lilikuwa ni lipi? Na je, alifanikiwa?

Mliokuwa kanisani tunaomba majibu.
Ni mtu wa Upatanisho na Uteule...

Anatimiza 'Wajibu' wa 'Wito' wake:
Hmmm
 
Simu yako Kuna mtu kaipora Nini?

Kitima ni padre na katibu mkuu wa Baraza la maaskofu tanzania
Ina maana siasa anazofanya wewe huzisikii? anapiga kelele watu kutekwa wakati maelfu kwa maelfu wanapoteza maisha kule palestina hatajuwahi kusikia mdomo wake kuhusu hatima ya wapalestina
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ilikuwa nzuri sana hii! Mnyika JJ bado amekaakaa ki Seminari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…