Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Ila misikiti haijazidiwa nguvu?? 🤔 🤔Kanisa limezidiwa nguvu. Watu wanatekwa na kuuwawa viongozi wote kimya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila misikiti haijazidiwa nguvu?? 🤔 🤔Kanisa limezidiwa nguvu. Watu wanatekwa na kuuwawa viongozi wote kimya...
Hawa walisema watasoma dua.Ila misikiti haijazidiwa nguvu?? 🤔 🤔
Chama gani?Kitimw atagombea jimbo gani kupitia chama chake ?
Unataka kanisa liongee halafu wanakuja wakina mwaipopo na sulle na wazee wa kukariri kama kasuku waje wadai raisi anachukiwa kisa muislamu?Kanisa limezidiwa nguvu. Watu wanatekwa na kuuwawa viongozi wote kimya...
Hilo ni jambo lisilo wezekana kabisa. Sasa hivi ndiyo taa pekee inayo angaza huko. Pengine ndiye tegemeo kuu la kuendelea kuwa hadaa waTanzania.Nchimbi atafukuzwa CCM
Waislamu tatizo hawana point kwa sababu wana ufinyu mdogo mno wa mambo yanayoendelea yanayohitaji elimu kuyachambua...wao kazi yao ni kukariri tu mistari mfano angalia wasomi wa kiislamu kama mwaipopo na mziwanda wanadai serikali yeyote duniani lazima iue watu kwahiyo hilo ni jambo la kawaida tu...angalia hata wakati wa mkataba wa bandari masheikh walilihamishia kuwa watu wanaupinga mkataba huo kisa ni waarabu tu😆😆😆Wagalatia kimyaaaaaa, roho kwatuuuuuu,
Kanisa linaendesha inchi,
Ngoja mashehe watoe tu mawazo usikie hizo fujo sasa,
Oooh hakuna kuchanganya dini na siasa, kama vile wao hapo wanafundishana unyago🔨
Jamaa alitaka tu Kutuokota. Asante Mkuu.Point of correction Mnyika Maua Seminary,Lisu kasoma Ilboru n Galanos,Nchimbi sijui aliposoma
Ni mtu wa Upatanisho na Uteule...Lengo la padre Kitima kuwapandisha madhabahuni hao watu lilikuwa ni lipi? Na je, alifanikiwa?
Mliokuwa kanisani tunaomba majibu.
HmmmShetani/Ibilisi na Kristu ni metafo za maudhui ya UTU katika muktadha akilifu wa Usentienti, Konsayansi na Ufahamu. Kwa mintarafu ya hivi, Kristu ni Metafizikia ya UTU na Udugu katika Imani ambavyo ‘Kumbukumbu la Uzima wa Miili’ daima hutumikia yote mawili (1) Upotofu wa Dhamiri ya Utu Bora na pia (2) Hitaji la Kuinuliwa Juu katika Utukufu wa ‘Uzima Zaidi wa Miili ya Uweza’. Basi ndiyo yawa, UTU-MAISHA-UISHO ni safari ya kujichagulia kulingana na ‘tamaa za kimiili’ ama kiu/hamu ya kula ‘Mkate’ na ‘damu ya Kristu’. Tena basi, ‘Mkate na Damu’ ni mambo ya ‘Riziki ya Kudumu’ ya ‘Mja Mwema’, Yesu kupata kufundisha hivi; ambavyo, kiufundi, na tena kupitiliza utaasisi wa ‘Ekaristi Takatifu’, kula na kunywa ndamu ya Kristu ni ‘fumbo la Imani’ ilivyo ni ‘Rizayati ya Elimu 3.0’...
Shetani/Ibilisi na Kristu ni metafo za maudhui ya UTU katika muktadha akilifu wa Usentienti, Konsayansi na Ufahamu. Kwa mintarafu ya hivi, Kristu ni Mkate na Damu ya Uzima kwa ajili ya ‘Ushirika wa Kiroho’ ambavyo ni ‘Waja Wema’ hudumu katika Udugu wa Imani—Mambo ya ‘Kukomunika’ na ‘Kipaimara’ katika kushiriki kusudi ya kile kilicho ni khasa asili ya Uzima wa Miili yetu na ‘Kujiwazia Utu’. Basi ndiyo yawa, fumbo la imani la ‘Uja-Wema’ ni Rehema na Fadhili ya ufanusi ya vitatu katika moja(1:1:1); ambavyo kukomunika ni mambo ya ‘kuijenga jamii ya walioamini’—katika mapokeo ya Uislam hili ndilo khasa shauri la ‘Ukaribu na ALLAH’ na tena jumuiya ya watu walioneemeka kwa jina tukufu la AL JAAM—Mola Mkusanya Waja Wema. Udugu katika Imani, kwenye mapokeo ya Uislamu ndiyo shauri la ‘Uimamu’ na ‘Wilayat’; kwenye Ubuddha ni shauri la ‘Sangha’, na vivyo hivyo huwa kwa namna zote za ‘Utawa/Uteule’ ama ‘Uimamu/Awliya’ ulioiva kwenye ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’.
Shetani/Ibilisi na Kristu ni metafo za maudhui ya UTU katika muktadha akilifu wa Usentienti, Konsayansi na Ufahamu. Kwa mintarafu ya hivi, Kristu ni Metafizikia ya UTU na Udugu katika Imani ambavyo ‘Kumbukumbu la Uzima wa Miili’ daima hutumikia yote mawili (1) Upotofu wa Dhamiri ya Utu Bora na pia (2) Hitaji la Kuinuliwa Juu katika Utukufu wa ‘Uzima Zaidi wa Miili ya Uweza’. Basi ndiyo yawa, UTATU MTAKATIFU ni muktadha akilifu wa BABA, MAMA na MWANA kufaa vina vyetu vya tafsiri kiakili ili kubayanisha jiometria ya utendekavyo maamuzi jamii ama pia metafanusi ya hili. Tena basi, kiufundi, kile chochote tunachoweza kumaizi kama BABA ni muktadha akilifu wa ‘UONO NA UFIKIRIFU MIFUMO; MAMA ni muktadha akilifu wa PUMZI YA UZIMA/KUHULUKU WA MIILI YOTE KATIKA DHAHIRI AMA SITIRI; MWANA ni muktadha akilifu wa NASIBU YA KUJIWAZIA UTU kwa rehema na fadhili ya UTATU WENYEWE ULIO NI ‘MOJA’.
UTATU ni nyenzo ya MAARIFA na MAARIFU katika Rizayati ya Elimu 3.0. Kwa mintarafu ya hivi, mtu asiye na nasibu ya Rizayati ya Elimu 3.0 habari na mambo ya ‘UTATU’ ni ‘FUMBO LA IMANI’. Basi ndiyo yawa, hata kwa mtu wa Rizayati ya Elimu 3.0 kuna ufunuo wa ‘Mbegu ya U-JUA-JI’ ya kadiri ya (1) Kujenga, (2) Kuponya ama (3) Kukamilisha nia/dhamira ya kujiwazia UTU. Mja mwema wa Kujenga ama Kuponya hawezi chochote pasipo misingi la NENO lililo ni UTATU MTAKATIFU. Mja Mwema wa nia/dhamira ya Kujiwazia UTU ndiye kwake UTATU huwa ni MOJA kiuweza—kwa hiyo MOJA, ‘vyote huja, vyote huenda’.
CDM ,kwani hujui kuwa ni mwanachama mtiifu wa mzee Mbowe na kundi lake?Chama gani?
Ina maana siasa anazofanya wewe huzisikii? anapiga kelele watu kutekwa wakati maelfu kwa maelfu wanapoteza maisha kule palestina hatajuwahi kusikia mdomo wake kuhusu hatima ya wapalestinaSimu yako Kuna mtu kaipora Nini?
Kitima ni padre na katibu mkuu wa Baraza la maaskofu tanzania
Hivi unadhani hawa cdm ni nini wanataka zaidi ya ajira kupitia mgongo wa siasa?Wabongo wepesi sana aisee.
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Makamu Nwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu.
Tuendelee kuliombea amani taifa letu dhidi ya watu wenye roho za kuliangamiza na kututenganisha.
Watu muda wote wanawaza kuua kila asiye waunga mkono
Wanataka wapendwe lakini watanzani wamegoma kabisa kuwapenda
LONDON BOY
====
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Dk Charles Kitima amewaita mbele ya kongamano la tano la Ekaristi Takatifu, Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa ajili ya kusalimia waumini.
Kongamano hilo linafanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Septemba 15, 2024.
Mbali nao, viongozi wengine wa kisiasa waliohudhuria ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innoncent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Spika mstaafu, Anne Makinda.
Pia maaskofu, mapadri, watawa wa kiume na kike na waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kongamano hilo lililofunguliwa Septemba 12, 2024.
Pia soma: Maaskofu Katoliki: Tunu yetu ya amani nchini imeshambuliwa kutokana na matukio ya watu kutekwa na kuuawa ya hivi karibuni
Ilikuwa nzuri sana hii! Mnyika JJ bado amekaakaa ki Seminari!Amani iwe nanyi wana wa MUNGU