Ghwakukajha
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 245
- 102
Aliwahi sema kuwa walimsukumia tuRais gani yupo partial kiasi hiki, hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji, sijui alifikaje hapo alipofika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwahi sema kuwa walimsukumia tuRais gani yupo partial kiasi hiki, hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji, sijui alifikaje hapo alipofika.
Mnavyozidi kumtukana na kumchafua ndivyo nyota yake inazidi king'araView attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Nyota gani inang’aa???😂😂Mnavyozidi kumtukana na kumchafua ndivyo nyota yake inazidi king'ara
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Ni unachotaka wewe iwe hivyo, lakini sio hivyo ndio maana unaiona Arusha ilivyo sasa na kuendelea, licha ya kwamba Mbunge wa Arusha alikuwa wa upinzani“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Kumbe hata Yesu yule mnazareti hakuwa mtu mzuri kabisa maana na yeye alisema hawezi kuwapa chakula cha watoto wake awape mbwa. Lakini hadi leo mbwa wenyewe wanamwita mwokozi.“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Mkabila mkubwa huyu tuwe makini naye.“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Anazidi kuonesha rangi yake halisi. Hizi tabia za kibaguzi wanazo sana watu wa Burundi na Rwanda. Magufuli anataka kuzipandikiza kwa Watanzania kwa nguvu. Huyu mtu ni laana na janga kwa nchi yetu. Tumkatae“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Wamesha kosa. Jana Arusha watu wameletwa na treni. Sijui kutoka Tanga au wapi kuja kumsaidia Majaliwa asi aibike“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Mh. Rais Magufuli, kupeleka maendeleo kwa wananchi wote ni wajibu wako na ni lazima, siyo hiari. Hiyo pesa ya barabara haitoki kwenye ukoo wako, haitoki CCM, ni kodi za wananchi wote.“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Huyu mzee hajui haya. Yaaani huyu mwaka huu hatakiwi kupata hata kura 5000 mwaka huu maana ana roho ya kishetani sana. Kodi walipe watanzania alafu yeye ndo awabague kimaendeleo. Sijawai ona roho mbaya kama ya huyu mzee. Huyu hafai kuwa hata diwani. Watanzania waamshwe kwa kweli wamkatae huyu mtu mara dufu!Mh. Rais Magufuli, kupeleka maendeleo kwa wananchi wote ni wajibu wako na ni lazima, siyo hiari. Hiyo pesa ya barabara haitoki kwenye ukoo wako, haitoki CCM, ni kodi za wananchi wote.
Kama hutaki kupeleka maendeleo maeneo fulani, uyaweke wazi, na useme kuwa hutakusanya kodi yoyote kutoka maeneo hayo. Na wala usiende kuomba kura kwenye maeneo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa kiasili ni mtu Mwenye roho mbaya na chuki kupindukia. Anajaribu sana kuficha huu uhalisia ila ukweli ni kwamba tabia ni kama pembe huwezi kuificha. Anatuonesha kabisa watanzania jinsi alivyo na roho mbaya. Tuwaelimishe watanzania wenzetu tumkatae kwa nguvu mwaka huu huyu jamaa kwenye sa sanduku la kura na tulinde kura zetu.Hapo hapo atajisahau na kusema maendelea hayana chama, nina wasi wasi sana na brain capacity ya mwamba
Kweli kabisa!!! Tangu nizaliwe sijawai ona mtu anaongea haya maneno kwenye kampeni. Hii ni ishara Mungu anatuonesha kuwa huyu mtu hatufai vyovyote vile. He is evil!Anazidi kuonesha rangi yake halisi. Hizi tabia za kibaguzi wanazo sana watu wa Burundi na Rwanda. Magufuli anataka kuzipandikiza kwa Watanzania kwa nguvu. Huyu mtu ni laana na janga kwa nchi yetu. Tumkatae