Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Watumishi na family zao wanamsubiria kwa hamu kwenye sanduku.

Me nasema hivi,kama si kiburi cha tume huyu hawezi shinda nawaambia.Watu wana hasira mtaani huko ohooooo
 
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida

Hii inaitwa kuweweseka.

Ni kiwewe hicho mkuu. Kimbunga cha Lissu kimewachanganya. Hivi wamepoteana.

Haya cha-cha. Chamia ndiyo huyo. Wote cha-cha hivi hawana tofauti. Si jiwe, machaliwa, Ayubu wala yule mpara magamba. Kushoto au kulia kote hakuna akujuaye tena.
 
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”

"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli

View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Ni unachotaka wewe iwe hivyo, lakini sio hivyo ndio maana unaiona Arusha ilivyo sasa na kuendelea, licha ya kwamba Mbunge wa Arusha alikuwa wa upinzani
 
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”

"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli

View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Kumbe hata Yesu yule mnazareti hakuwa mtu mzuri kabisa maana na yeye alisema hawezi kuwapa chakula cha watoto wake awape mbwa. Lakini hadi leo mbwa wenyewe wanamwita mwokozi.
Na Magu mtashangaa hata atakaposhinda kwa kishindo tena mtashangaa atakavyoongezewa miaka mingine 10.
Si mimi ni historia.
 
Kitimoto anajikaanga kwa mafuta yake....

Ataliwa tu octoba28
 
Nchi hii watu wake wa mikoa mingine wangekua imara kama watu wa Arusha, Mara na Mbeya, hakika Chama cha Mashetani wasingekua na nafasi.
 
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”

"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli

View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Mkabila mkubwa huyu tuwe makini naye.
 
Anazidi kuonesha rangi yake halisi. Hizi tabia za kibaguzi wanazo sana watu wa Burundi na Rwanda. Magufuli anataka kuzipandikiza kwa Watanzania kwa nguvu. Huyu mtu ni laana na janga kwa nchi yetu. Tumkatae
 
huwezi kukosa kura kwa kusema ukweli, hapa nadhani mnajipa faraja hewa.
 
Kauli ya namna hii alishaitoa Kusini, na alitaka aitoe Kilosa akidhani mbunge alikuwa wa upinzani (bahati nzuri wananchi wa Kilosa wakamzodoa kuwa mbunge ni wa ccm)...
 
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”

"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli

View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Wamesha kosa. Jana Arusha watu wameletwa na treni. Sijui kutoka Tanga au wapi kuja kumsaidia Majaliwa asi aibike
 
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”

"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli

View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Mh. Rais Magufuli, kupeleka maendeleo kwa wananchi wote ni wajibu wako na ni lazima, siyo hiari. Hiyo pesa ya barabara haitoki kwenye ukoo wako, haitoki CCM, ni kodi za wananchi wote.

Kama hutaki kupeleka maendeleo maeneo fulani, uyaweke wazi, na useme kuwa hutakusanya kodi yoyote kutoka maeneo hayo. Na wala usiende kuomba kura kwenye maeneo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kiwango kikubwa cha ubaguzi. Mtu wa namna hii hafai si tu kuwa kiongozi wa nchi hafai kuwa hata mkuu wa shule.
 
Mh. Rais Magufuli, kupeleka maendeleo kwa wananchi wote ni wajibu wako na ni lazima, siyo hiari. Hiyo pesa ya barabara haitoki kwenye ukoo wako, haitoki CCM, ni kodi za wananchi wote.

Kama hutaki kupeleka maendeleo maeneo fulani, uyaweke wazi, na useme kuwa hutakusanya kodi yoyote kutoka maeneo hayo. Na wala usiende kuomba kura kwenye maeneo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee hajui haya. Yaaani huyu mwaka huu hatakiwi kupata hata kura 5000 mwaka huu maana ana roho ya kishetani sana. Kodi walipe watanzania alafu yeye ndo awabague kimaendeleo. Sijawai ona roho mbaya kama ya huyu mzee. Huyu hafai kuwa hata diwani. Watanzania waamshwe kwa kweli wamkatae huyu mtu mara dufu!
 
Tatizo hajui siasa si kila mtu anaweza kukuchaguakwa sababu unamtisha, hakuna watu jeuri kama mkoa wa Mara awe anawatishia sababu hawakuchagua kiongozi wanayemtaka basi asiende kukusanya kodi yao
 
Hapo hapo atajisahau na kusema maendelea hayana chama, nina wasi wasi sana na brain capacity ya mwamba
Huyu jamaa kiasili ni mtu Mwenye roho mbaya na chuki kupindukia. Anajaribu sana kuficha huu uhalisia ila ukweli ni kwamba tabia ni kama pembe huwezi kuificha. Anatuonesha kabisa watanzania jinsi alivyo na roho mbaya. Tuwaelimishe watanzania wenzetu tumkatae kwa nguvu mwaka huu huyu jamaa kwenye sa sanduku la kura na tulinde kura zetu.

Huyu jamaa hafai kabisa!!!
 
Anazidi kuonesha rangi yake halisi. Hizi tabia za kibaguzi wanazo sana watu wa Burundi na Rwanda. Magufuli anataka kuzipandikiza kwa Watanzania kwa nguvu. Huyu mtu ni laana na janga kwa nchi yetu. Tumkatae
Kweli kabisa!!! Tangu nizaliwe sijawai ona mtu anaongea haya maneno kwenye kampeni. Hii ni ishara Mungu anatuonesha kuwa huyu mtu hatufai vyovyote vile. He is evil!
 
Back
Top Bottom