Hapana mimi ni mmoja niliongea humu kwenye hili hasa ila kipindi kile kuna watu waliziba masikio hata kwa vitu obvious .Anyway cha msingi mambo yanaenda vizuri kwa sasa .Let us forget the pastKuna ukweli/uongo ulikuwa hausemwi enzi za JPM Sasa unasemwa wakati wa Samia
Na Samia akitoka madarakani nae atasemwa tu kwa ubaya.
Hivi mkuu nakufanananisha au nimekosea😂😂Yaani ilikuwa hivyo TRA na kitengo cha Anti money Laundering utafikiri walikuwa na vita na wenye akaunti benki .Vita kubwa kuliko ya Ukraine na Russia So sad .Watu wakaanza kukwepa kuweka pesa benki wakaziona benki kama ukoma
Huyu ndio alichora mawe, madaraja, makaravati na milima yote nchi nzima?"Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.
Ameyasema hayo leo 05/03/2022 wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya CRDB, jijini Dar es Salaam.
kuna ofisi yoyote ya Umma yenye picha ya Magufuli? Sisi tuliambiwa tuzishushe piacha zote na kupelekwa store siku moja baada ya kuapishwa Rais Samia.Kuna siku, kutatolewa kitabu kuelezea jinsi utawala wa Magufuli ulivyokuwa mbaya kuliko utawala mwingine wowote nchini mwetu. Na kitabu kitapata mauzo makubwa sana. Na ndipo itaamliwa, pivha yake kutoonekana ofisi yoyote ya umma.
Duuuh, haya yalitokea Tanzania hii hii?"Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba.
Ameyasema hayo leo 05/03/2022 wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya CRDB, jijini Dar es Salaam.
You've made my day mkuu, kwamba jamaa anachezea mishale akiwa kuzimu [emoji28][emoji28][emoji28]Daaah jamaa anazidi kuchezea mishale akiwa kuzimu .hawa ma ccm fake wakina Crimea wanazidi kuipambania legacy.
Wakati ule , kwenye ile kwaya ya kusifu , alikua anaimba sauti ya kwanza
[emoji38] Yule alikuwa mwingine tofauti kabisa na huyu wa sasa.Huyu ndiye alienda Chato kuapishwa,au nimesahau.........