Dkt. Mwigulu: Kabla ya Samia kuingia madarakani mabenki yetu yaliishiwa pumzi

Dikteta aliumiza wengi sana, aliua ndoto za watu wengi, Madelu naye alikuwa ni muhanga wa Uchwara, sidhani kama hii 5 mingine angemaliza naye! Umeona wapi mchumi anapewa wizara ya sheria aiongoze??
kwani waziri wa afya wa sasa (2022) ana taaluma ya afya? usikariri mzee , waziri ana kikosi cha watumishi nyuma yake ambao ni maguli wa fani hiyo
 
Kwi Kwi Kwi
 
Madelu katika upupu, na true bank yake DTB ilikuwa pwapwi asante sasa unaijaza bank yako kwa madolatea
 
Kuna watu watakwabia muongo
 
Sina neno zuri la kuandika, zaidi la kusema malaya wa kisiasa, chawa wa kiwango cha lami, hawa ndiyo viongozi wa dini hua wanasema wanamshauri vibaya rais, ni mchumi wa kwenye vitabu, ameshindwa kupratice field. Siku hizi uchawa imekuwa fashion kwa wasomi, wamewaambukiza mpaka watoto wa chuo. Alitunanganya kama tozo za simu zitamaliza kero za barabara na elimu kinyume chake kimeongeza machungu kwa wananchi. Tozo zimefanya biashara ya mtandao kuto kukua kwa kasi maana wananchi wanashindwa kufanya transaction online sababu ya makato. Biashara ya dunia imehamia online lakini mchumi fake kashindwa kuliona hili. Ndiyo maana hats benki kuu wameshindwa kulounge project yao ambayo ingekuwa na manufaa kwa wananchi kwa ajili ya mpuuzi huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…