Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

Dk Slaa kila mtu anajua kuwa sera hutokana maoni ya ya watanzania wote juu ya kile wanachokitaka kifanyike.

Acha porojo
Your browser is not able to display this video.
 
Ile siku ya kumpokea Lowassa Chadema, Dr. Slaa alikuwepo pale, yule hakuwa na msimamo, alikuwa kigeugeu.
 
Taasisi haitakiwi kumtegemea individual, kama ikiwa hivyo basi itaanguka mapema sana.

Dr. Slaa ameondoka lakini Chadema haikuwahi kutetereka, bado ipo juu tu, inaungwa mkono kwa nguvu zile zile kabla Slaa hajaondoka.
 
Taasisi haitakiwi kumtegemea individual, kama ikiwa hivyo basi itaanguka mapema sana.
Ni Kweli bt taasisi kama mfumo unategemea watu wenye capacity,

Dr MASHINJI Kwa mfano alifikia uwezo wa Dr Slaa, au Mnyika anatosha?

Nionyeshe ndani ya CDM au ndani ya CCM mwenye capacity inayofkia Dr Slaa.
 
Nilifarijika kumuona Mzee Slaa kwenye mijadala kadhaa. Sio afya ya taifa kukosa mchango wa watu makini kama Dr Slaa.
 
Mi naona umeangalua upande mmoja muongelee Slaa zaidi je,ni njaa,mapenzi yake kwa cdm au ni mpinzani by nature
 
Chadema ni majuha hayana akili. Lowassa aliyezaliwa ndani ya CCM walimuamini, alafu Leo wanasema hawamuamini slaa
Slaa hakuzaliwa ndani ya CCM? unamjua slaa vizuri au umezaliwa juzi miaka ya 2000?
 
Dk Slaa kila mtu anajua kuwa sera hutokana maoni ya ya watanzania wote juu ya kile wanachokitaka kifanyike.

Acha porojo
View attachment 2531351
Idugude acha ukinyonga leo hii wewe unachepuka na kudai kuwa sera ni za Wananchi na siyo chama?

Umejisahaulisha ambavyo umekuwa ukisema kwa kelele mara nyingi kuwa chadema haina sera, leo umeambiwa sera za chadema zilivyotumiwa na Mkapa unalialia.
 
CDM, iandae utaratibu wa kumpokea slaa rasmi, unless ACT, atakuwa juu, kufanya mabadiliko sio dhambi, mbowe pumzika kwa sasa ili kuokoa chama!
 
Hakika waswahili wanasema kuwa shukrani ya punda ni mateke.

Tuyaache hayo ya kiswahili.
Dr Silaa amewageuka waajiri wake wa mchongo mara baada ya kushiba.

Naona sasa kuwa huyu babu anacheza na jinsi upepo wa siasa unavyokwenda ndani ya vyama vikuu hapa Tanzania [emoji1241] yaani CHADEMA na CCM.

Keshaona kuwa cdm sasa ndiyo kipo kwenye mvuto mkubwa sana kuliko kule ccm aliko kimbilia ili ajaze tumbo lake.


Naomba tumsikilize anaweza akawa yupo Sawa maana maisha ni kupanga na kuchagua.
Your browser is not able to display this video.
 
Hakika www Ni pipoz haswa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…