Huwezi kuita sehemu Tanzanite inayopatikana baharini na nchi kavu wakati maana halisi ya Tanzanite ni vito vya thamani vinavyopatikana Arusha Dunia nzima. Utakuwa mwehu kuita Posta Tanzanite as per your contention.Hata ikiwapo sehemu inaitwa Tanzanite si tatizo.
Kwa sababu Tanzanite ni jina la madini tu.
Oyster Bay si sawa na Tanzanite.
Oysterbay ni maneno mawili. Oyster Bay. Ghuba ya Chaza.
Oysterbay si sawa na Tanzanite.
Oyster Bay ni sawa na "Machimbo ya Tanzanite".
Sasa, ukiita sehemu Posta "Machimbo ya Tanzanite" wakati hapo hakuna machimbo ya Tanzanite, nitakuona mshamba.
Umeita sehemu "Machimbo ya Tanzanite" wakati hakuna machimbo ya Tanzanite, hakuna machimbo wala Tanzanite.
Umeelewa?
Tuseme uko sawa,Huwezi kuita sehemu Tanzanite inayopatikana baharini na nchi kavu wakati maana halisi ya Tanzanite ni vito vya thamani vinavyopatikana Arusha Dunia nzima. Utakuwa mwehu kuita Posta Tanzanite as per your contention.
Hoja ni yako kwa muktadha ulioleta ndio maana nikakupa mfano uliokufunga ki semantic.Sawa,
But this is a non sequitur logical fallacy.
Let me grant you your point, not because it is right, just for argument's sake.
Hata kama huwezi kuita sehemu Tanzanite, kwa sababu iko baharini, hilo halimaanishi unaweza kuita sehemu iliyo Dodoma Oysterbay.
Hoja ya Tanzanite si yangu, ni yako.
Mimi hoja yangu ni Oyster Bay.
Hakuna nilipo notice flaws.Hoja ni yako kwa muktadha ulioleta ndio maana nikakupa mfano uliokufunga ki semantic.
Am glad you have noticed flaws in your contention.
Hii Haina ubishiHii ni kwa waliofika mitaa ya ushuani Dodoma kwa hivi karibuni.
Naishi dsm, lakini nimeishi dodoma 5 years back, nimekaa Arusha na Mwanza pia.
Sikatai Dar ndio baba lao kwa Tz kwenye vitu vizuri hasa Makazi.
Kama umefika Dodoma hivi karibuni au hata kuangalia insta, Tiktok utaona real estate ya Dodoma inakuja kwa kasi mno hata Dar ikasome kuanzia Apartments, hotels, AirbnB etc
Hizi ni baadhi ya sehemu ambazo ukitembelea utakubaliana na mimi.
1. Itega - ianshika namba moja kwa Dodoma, wanaishi wazito huu mtaa uliopo chini ya mlima kama unaenda gereza la isanga. Sharti la kujenga ni kuanzia ghorofa moja, kiwanja kuuzwa 1 billion sio jambo la kushangazwa kutokana na value ya eneo na kumepangwa kweli kweli hiyo Mijengo Mbweni JKT akasome.
2. Njedengwa- naipa namba mbili, huu mtaa upo chini ya mlima kama unaenda iyumbu kule Udom. Kuna makazi ya watu, taasisi za umma na binafsi kama Tume ya Uchaguzi HQ. Huku kuna balaa watu wamejenga hadi unasema pesa wamepata wapi. Kwa kuongezea kuna Hotel Mbili za Nyota tano zinajengwa, ile ya Bunge la Afrika kushirikiana na Bunge Tz pamoja na ile ya NSSSF ili kuendana na kasi ya Jiji lakini kuhost diplomats, UN guests and high profile foreigners watakao kuwa dodoma msalato international airport ikikamilika.
3. Mkalama/ Makulu Oyster bay
Huu mtaa una washua balaa, kina Biteko etc wameshusha vitu na apartments zile za modern luxury zinajengwa na zingine zipo tayari.
4. Ilazo - kumenyooka huku hamna slums ni vitu fulani hivi vya kishua na barabara kiwango cha lami kwenye mitaa yake.
5. Medeli - Huku ndio kuna shopping malls, restaurants, ofisi za umma na bifnafsi na hotels za kisasa, in short panakuwa kwa kasi sana. Kiwanja kuuzwa 2 billion sio maajabu huu mtaa.
6. Kisasa- huku ni kama Sinza ya Dar, kumechangamka sana yaani ni mtaa unajitosheleza karibia kila kitu, tofauti na sinza huku hamna slums, kumepangwa vizuri barabara za mtaa almost zote zina lami.
7. Mlimwa C - huku ndio kule kwa Waziri Mkuu, chini ya mlima watu wanashusha mansion kama uyoga ndipo kuna royal village.
8. Mtumba City - kwasasa kuna modern state of art ministerial offices, ila kwa baadae patakuwa kufuru kutokana na modern hotels, restaurants and apartments ambazo zipo underway.
Sehemu zingine kuna Iyumbu, Ntyuka, Tambuka reli street etc
Dodoma Uncle magu angekuwepo sijui tungekuwa tunaongea nini.
Kwasasa ndio Jiji la tatu linalokuja kwa kasi baada ya Dar na Mwanza, hivyo Mwanza kaa tayari kushika namba tatu by 2030
Miji yote iliyoendelea duniani wageni ndio wameiendeleza ...usipokaribisha wageni/wawekezaji ukategemea wenyeji tu au ukawabagua wageni matokeo yake mji unadumaa kwamfano Moshi,Mbulu n.kWatu wa mbeya na dodoma sijui wanashida gani... Na asilimia 99% ya wamiliki wa ghorofa ni wageni 😂
Kwani ukavu unazuia nini? Gaborone au Windhoek ni Kuna miti? Jeddah au Dubai je?Dodoma Kwenye Miundo mbinu Wamejitahidi,Ila Changamoto ya Dodoma Ni kukavu Balaa
Acha ujinga ,Mji Mkuu unahujumiwaje sasa.Umeongea kweli Mkuu, kuna namna naona hujuma dhidi ya Jiji la Dodoma tangu afariki Magufuli, Rais hakai Ikulu ya Dodoma kama Dar na Tunguu
Tabia ambayo inaigwa na viongozi wa chini.
Miradi mingi imesimama pia, kama ule Uwanja wa Morocco.
Magu angelikuwepo Dodoma ingekuwa Jiji la pili baada ya Dar.
Msalato international airport ikikamilika hapo September dodoma itakuwa na muingiliano mkubwa wa kindani na nje kwasababu shughuli za Serikali ( Bunge, Mahakama na Ikulu) vipo dodoma pamoja na ministries.
NB: Nunua ardhi Dodoma, hutajuta baadae.
Hadi mahoteli wachina wameanza kujengaMkuu umewaza mbali, ungekuwa na capital nadhani ungetimiza ndoto.
Kweli matajiri wa bongo bado hawajawa serious na dodoma.
Naona wachina wameanza kushitukia mchezo kwa kuanzisha Viwanda baada ya Bandari Kavu kukamilika, kuna Don mchina anaanzisha kiwanda cha Steel kikubwa Africa mashariki.
Dodoma ina maeneo mengi nje ya mji hayana muwekezaji hii ni Fursa kwa mtu anayeona mbele before its too late.
Bei gani?Mkuu nunua hata ekari Moja inatoa viwanja 5,6vya sqmeter 600!
Growth rates yake ni ndogoWatu mnapenda kujifurahisha! Sasa 20 years DAR yenyewe itakuwa imesimama tu inamsubiria Dodoma?
Sawa sijajua unataka yawe na urefu upi Ili uite ni marefuWanajipa moyo japo inawezekana, hofu yangu Dodoma hamna majengo marefu wote wanao Jenga wanajenga kawaida sana, pale city center ukisimama unaweza hesabu ghorofa refu zilizopo na ukamaliza
Wewe una matatizo,Dodoma ni ya kukosa show room kweli? Mbona zipo kibaoDodoma muanze kuweka na showrooms sijui kama zipo
😂 hukutakiwa hata kuniambia, ukipoteza argument unaleta latin jargon na kukimbilia ignore list. What a looser!Hakuna nilipo notice flaws.
Naona tupo levels tofauti za uelewa.
Ama hivyo, ama umeamua kubisha kijinga tu.
Mimi nakupa immanent critique. Wewe huelewi immanent critique ni nini, unaona nime notice flaws.
Hunielewi. Huelewi immanent critique ni nini.
Huelewi kuwa mtu akikuambia "let me grant that your point is right for the sake of argument...." halafu akaonesha ulipokosea, hiyo ni immanent critique.
Hiyo ni critique, si kukubali hoja yako.
Huelewi tofauti ya "let me grant you that your point is right for the sake of argument" na "your point is right".
You are not nuanved enough to know the difference.
Wewe umeleta logical non sequitur fallacy, whataboutism.
Tatizo hujui logical non sequitur fallacy ni nini, hujui whataboutism ni nini.
Ungejua, usingejianika ujinga wako hivi.
Hatuwezi kuelewana.
Kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu.
Na sina utashi, nia wala sababu ya kuendelea kujibizana na wewe.
Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona unachoandika.
We huelewi kaa hivyo hivyo.Watu mnapenda kujifurahisha! Sasa 20 years DAR yenyewe itakuwa imesimama tu inamsubiria Dodoma?
Bila mwendazake ingekuwa hapa?Acha ujinga ,Mji Mkuu unahujumiwaje sasa.
Dom aliyoiacha Mwendazake ndio ya Sasa?
Wapi hukoHadi mahoteli wachina wameanza kujenga
Sijaziona kama za DarWewe una matatizo,Dodoma ni ya kukosa show room kweli? Mbona zipo kibao
Akili yako imelala, suburia magorofa marefu yakijengwa ndo ukatafure maeneoWanajipa moyo japo inawezekana, hofu yangu Dodoma hamna majengo marefu wote wanao Jenga wanajenga kawaida sana, pale city center ukisimama unaweza hesabu ghorofa refu zilizopo na ukamaliza
Nairobi kuna bandari?Dodoma sio rahisi kuipiku dar es salaam hata kidogo . Dar es salaam ndio business hub ya Tanzania na Africa mashariki . Mji wenye bandari, airport , viwanda na ni gateway ya eat and central Africa.