peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
😂😂😂😂 Prof. Ndalichako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalamu1:Kuna watu wameanza kuzitumia akili zao walizokuwa wamezihifadhi stoo kwa muda mrefu.
Huenda taratibu tukarudi kwenye nyakati za ufahamu, badala ya kufanya mambo kama maroboti.
Kama mkuu wa mkoa anaweza kusemja kitu kama hicho bila kuogopa wateuzi watasema nini, hilo linatia moyo.
Mkuu.Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Spot on.....Series itaendelea...Ni kweli kiongozi wa serekali huwezi kuongea vile hadharani....
but huyu waziri wa elimu alikuwa mteule wa Magu....naona akitolewa kitini......
nikirudi kwenye fikra namaizi mtaka hayupo pekeyake.,...
he was sent
My problem with Mtaka is timing! Forum aliyotumia siyo sahihi, ningelimwajibisha if I were SamiaKwanza rekebisha jina ni Mtaka.
Pili naunga mkono hoja ya Mtaka
P
Mm naona kasema kweri kabisa mm namkubali sana huyu jamaa,ndio maana alipo kua pale simiyu alifanya vizuri kabisa kwenye upande wa elimu.Swala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matakwa yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Kwa kosa gani?Mhhhhhh kuna uwezekano wa Waziri wa elimu kutumbuliwa hivi karibuni.
Kama hujui mtaka atasogezwa mzizima soon,Sijui kama atabaki salama. Nahisi kitaota nyasi soon akaungane Chalamila
Mkuu wa mkoa yuko sahihi, Ndalicho, Dr Dorothy Gwajima,Dr mollel, RAS shinyanya, RAS mwanza,RAS Geita, RC manyara,DED same, Kaimu DED Moshi manispaa, Hawa ni viongozi mzigo awamu ya SITA.My problem with Mtaka is timing! Forum aliyotumia siyo sahihi, ningelimwajibisha if I were Samia
By the way bado mambo hayajajipa? Utauzi vipi?
Hao wengine siwajui ila madam wamo Dorothy na Mollel, saaawaaaMkuu wa mkoa yuko sahihi, Ndalicho, Dr Dorothy Gwajima,Dr mollel, RAS shinyanya, RAS mwanza,RAS Geita, RC manyara,DED same, Kaimu DED Moshi manispaa, Hawa ni viongozi mzigo awamu ya SITA.
Perfect to your observations, but my concern is timing!Mkuu wa mkoa yuko sahihi, Ndalicho, Dr Dorothy Gwajima,Dr mollel, RAS shinyanya, RAS mwanza,RAS Geita, RC manyara,DED same, Kaimu DED Moshi manispaa, Hawa ni viongozi mzigo awamu ya SITA.
Anasahau kuwa Waziri Ni Boss wake protocolwiseWananchi wamsikilize RC na siyo Waziri, hatari sana.Kwani RC anaingia kwenye kikao cha baraza la mawaziri?
Jamaal kuwa RC wa Dodoma naye anajiona waziri wa nchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi huyu jamaa amezaliwa na kipawa cha uongozi ama amesomea, na akama amesomea walimu wake ni akina nani?Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.