Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa
Kuna watu wameanza kuzitumia akili zao walizokuwa wamezihifadhi stoo kwa muda mrefu.

Huenda taratibu tukarudi kwenye nyakati za ufahamu, badala ya kufanya mambo kama maroboti.

Kama mkuu wa mkoa anaweza kusemja kitu kama hicho bila kuogopa wateuzi watasema nini, hilo linatia moyo.
Kalamu1:

Elimu ina nguvu hasa pale tu inapotumika.
 
Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Mkuu.
Hivi mteule wa Rais anajibiwa vipi.
 
🗣🗣

Maana ya kuwa msomi ni kuawarahisishia wale ambao hawana ambayo hawakuipata hiyo elimu na SI kuwawekea ugumu watu wasiokuwa na hiyo elimu.

Kila mkuu wa mkoa bila shaka ni vema akaja na sera za mpango mkakati kuhusiana na mkoa wake kuna mikoa nyuma sana ki_elimu mliyotembea mikoani kuweni mabalozi kwenye hili.
 
Swala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?

Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?

Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matakwa yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Mm naona kasema kweri kabisa mm namkubali sana huyu jamaa,ndio maana alipo kua pale simiyu alifanya vizuri kabisa kwenye upande wa elimu.
 
My problem with Mtaka is timing! Forum aliyotumia siyo sahihi, ningelimwajibisha if I were Samia
By the way bado mambo hayajajipa? Utauzi vipi?
Mkuu wa mkoa yuko sahihi, Ndalicho, Dr Dorothy Gwajima,Dr mollel, RAS shinyanya, RAS mwanza,RAS Geita, RC manyara,DED same, Kaimu DED Moshi manispaa, Hawa ni viongozi mzigo awamu ya SITA.
 
Mtaka is right but he has to change his attitude. Afanye tu kazi yake, mambo ya kumtaja waziri sio sahihi. Kama ingekuwa mimi ndio mamlaka yake ya uteuzi ningempa laripio kali... ana mentality issues ... he needs to address it
 
Mkuu wa mkoa yuko sahihi, Ndalicho, Dr Dorothy Gwajima,Dr mollel, RAS shinyanya, RAS mwanza,RAS Geita, RC manyara,DED same, Kaimu DED Moshi manispaa, Hawa ni viongozi mzigo awamu ya SITA.
Hao wengine siwajui ila madam wamo Dorothy na Mollel, saaawaaa
 
Mkuu wa mkoa yuko sahihi, Ndalicho, Dr Dorothy Gwajima,Dr mollel, RAS shinyanya, RAS mwanza,RAS Geita, RC manyara,DED same, Kaimu DED Moshi manispaa, Hawa ni viongozi mzigo awamu ya SITA.
Perfect to your observations, but my concern is timing!
 
Wananchi wamsikilize RC na siyo Waziri, hatari sana.Kwani RC anaingia kwenye kikao cha baraza la mawaziri?
Jamaal kuwa RC wa Dodoma naye anajiona waziri wa nchi🤣🤣🤣
 
Wananchi wamsikilize RC na siyo Waziri, hatari sana.Kwani RC anaingia kwenye kikao cha baraza la mawaziri?
Jamaal kuwa RC wa Dodoma naye anajiona waziri wa nchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anasahau kuwa Waziri Ni Boss wake protocolwise
 
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.

Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.

Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.

View attachment 1851200


Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake

Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.

Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.

Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.

Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Hivi huyu jamaa amezaliwa na kipawa cha uongozi ama amesomea, na akama amesomea walimu wake ni akina nani?
Mtu kama huyu Kwanini Mungu asimlinde na kumpa uzima tele tele kwa faida ya maskini wanaodanganywa na mapro-pesa waongo , eti mtu ansema kingereza hakina maana ila mwananye anasoma international school, mtu anasema uzalendo shule za kata ila yeye anasomesha international.
MTAKA WEWE UNA YESU.
 
Tuseme ule ukwelii kabisaa wote we've been to school...
Sa 9 hasa kwa shule za Sekondari utatoboa?.
 
Back
Top Bottom