Wananchi wapi hao? Hao nyumbu wa CDM?Kwanini mnaamini njia pekee ya kujibu na kutatua hoja na matakwa ya wananchi walio wapa dhamana ni kuwakupiga na kuwaumiza? Inamana mmesha sahau kwamba mpo hapo kwa niaba ya hawa mnao waza kuwaumiza? Au mnadhani mpo hapo kwa ajili yenu wenyewe? Mjifunze kuwajibika kwa wanachi na kwa nchi na sio kuwajibika kwa manufaa ya watu.
Wewe una akili timamu kweli? Wameongea na Lissu wiki tatu zilizopita. Leo ndio wameongea na. Dk. Nchimbi. Au mnavutishwa Bangi?..waliongea na Nchimbi kabla ya kuongea na Lissu.
..tofauti ni kwamba wahariri wanapoongea na viongozi wa Ccm wanakuwa wapole, lakini wakikutana na viongozi wa Chadema wanawavunjia heshima.
Walichokifanya TEF ni kama refa kung'oa goli Ili popote mpira utakapopigwa alisimike mpira uingie wavuni.Yeye ndio kaandaa huo mkutano wa waandishi wa habari. Toka lini waandishi wa habari wakafanyia mkutano wao Songea? Hayo anayoongea ndio ajenda ya hicho kikao cha hao waandishi wa habari.
Paskali Mayalla
Watawapata kwa ACT WazalendoBaadaye Watawapataje Sasa COVID 19
Kukidhi Matakwa Ama Wataokoteza Wapinzani Wowote
Usije tu ukaibadili ID yako na kuja na kusapoti ukombozi.Nikombolewe na nani? Na huyo Chiba mke wa Amsterdam? Ushoga endeleeni nao peke yenu CHADEMA
Wanadhani hatuoni nini kinaendelea na ukweli ni upi.Walichokifanya TEF ni kama refa kung'oa goli Ili popote mpira utakapopigwa alisimike mpira uingie wavuni.
Bora wangefanyia Dodoma wasingeleta ukakasi.
Alafu wanapiga na makofi kabisa wakati wao ni neutral .
Wewe una akili timamu kweli? Wameongea na Lissu wiki tatu zilizopita. Leo ndio wameongea na. Dk. Nchimbi. Au mnavutishwa Bangi?
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Sasa kabla ya kumuuliza heche wewe nijibu yu wapi soka? Kibao aliuliwaje? Je wauwaji walisha patikana , lakini kuna yule kada ya CCM aliye tekwa alisha patikana? Wapi dionize mlimpeleka wapi, ? Sasa wewe unahoji mlevi kutandikwa ili awe na adabu na yupo hai unaacha kuulizia wale walio uawa hadi sasa haijulikani mmewafichia siri wauwaji! Hapo nani hana huruma nawananchi.Muuloze heche kwanini kamjeruhi yule dada na yeye ndio kapewa dhamana ya kuwalinda wanachama wake!
CHADEMA hawana hoja ni upumbavu tu.Wanaojaribu kuzuia uchaguzi usifanyike wapigwe tu
Mavi ya pussi wewe ...huyo Sugu wako alisema ili ashinde ilibidi akata miti barabarani , watu wapigwe mabomu na kuuwawa ili atangazwe ila 2020 mulimperekea Jeshi... Kipara bila akiri nisawa kende ya GombeUpuuzi huo Haidan khenani anataka uchaguzi sugu anataka uchaguzi hizo saini hata umoja wa wapiga ngoma wana saini!
Njaa mbaya sana.Yupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!
Chadema kupo vipande vipande. Kati ya wanaotaka Reforms na wanaotaka kugombea.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Unaposema nyumbu wa CDM una maanisha nini? Maana ni wananchi wale wale mnao wasomba kwenye malori na wanafunzi wa shule ili kumdanganya mwenyekiti kwamba ana umati mkubwa wa watu heshimuni wananchi kuwaita nyumbu ni kuwadharau sanaWananchi wapi hao? Hao nyumbu wa CDM?
Mnakimbilia jeshi la polisi badala ya kujibu hoja kwa hoja jinsi mlivyo wajingaMamlaka husika na suala hilo la kihaini la Tundu Lissu kutaka kufanya uhaini kwa kuzuia uchaguzi mkuu wa 2025 tayari umeshaanza kazi. No more words but action only. Jamaa hataweza kutorokea kwa mke wake Ubeligiji zamu hii. Stay tuned.
View: https://youtu.be/T7FrazK3Kyk?si=M6ZxcEy8oOSmp14q
Na kiburi chao wanakitoa kwa polisi kwa hiyo kwa lugha nyingine wanao sababisha umaskini ,wizi wa mali za umma na ubadhirifu nchi hii ni jeshi la polisiCCM Imegoma Kabisa Kufanya Uchaguzi Huru Na Wa Haki Yenyewe Inawaza Vurugu