Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!
Kutegemea virungu bila kukibu hoja na ni aina ya ulemavu, hata hao mnawategemea kwenye virungu watawachoka maana nao wama dhiki hadi kwenye makalio
 
Jamani CCM wametoa msimamo wao kama chama. Tuombe na vyama vingine vya siasa vitoke hadharani vitoke kauli yao.

Taasisi za dini kwa sababu wapo karibu na wananchi na wao watoe tamko ili wananchi wasiyumbishwe.

Serikali nayo itoe mwelekeo wao kuhusu huu uchaguzi.

Taasisi za kiraia nao watoe tamko lako kuhusu hiyo tume ya uchaguzi.

Duuu huyu mdudu reforms anatesa watanzania.

Hapo wananchi wataamua cha kufanya.
Asanteni
 
𝐍𝐈 πŠπŽπ’π€ πŠπ”ππ–π€ πŠπ”πŠπˆπ‹π€π™πˆπŒπˆπ’π‡π€ π‚π‡π€πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 π’πˆπ€π’π€ πŠπ”πˆππ†πˆπ€ πŠπ–π„ππ˜π„ π”π‚π‡π€π†π”π™πˆ - ππ€π‹πŽπ™πˆ πƒπŠπ“. ππ‚π‡πˆπŒππˆ

"Ni kosa kubwa sana kukilazimisha chama cha siasa kuingia kwenye uchaguzi"

"Zimeanza kusikika taarifa za baadhi ya wananchi na wana CCM wakiilazimisha CHADEMA iingie kwenye uchaguzi, ni haki yao kususia na kutoingia kwenye uchaguzi"

"...Na nina hakika rafiki yangu Tundulisu hawatakubali kupoteza haki zote mbili, atleast ya kuchagua wataitumia vizuri"


Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ---- wakati akifungua mkutano maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) unaofanyika leo Aprili 04, 2025 Songea mkoani Ruvuma

#KaziNaUtuTunasongaMbele
 

Attachments

  • VID-20250404-WA0008.mp4
    47.7 MB
Unaposema nyumbu wa CDM una maanisha nini? Maana ni wananchi wale wale mnao wasomba kwenye malori na wanafunzi wa shule ili kumdanganya mwenyekiti kwamba ana umati mkubwa wa watu heshimuni wananchi kuwaita nyumbu ni kuwadharau sana
Kwani hujui CDM ni nyumbu? Hili jina walipewa miaka ya 2010 huko au wewe ulikuwa bado uko shule za vidudu?
 
Ccm wanakiburi sana! Badala ya kujibu kwanini wanaharibu chaguzi, wao wanabeza NRNE! Hiyo ratiba ya uchaguzi wsnayoikimbikia iliwekwa na Mungu au ni kisingizio tu?
Mimi sismini kwamba ccm Wana akili kuliko KANU ya Moi ambayo hatimaye, japo kwa damu nyingi, lkn ilianguka!
Kwanza kitendo Cha kuharibu chaguzi waziwazi ni ishara tosha kwamba hawana, baada ya miaka zaidi ya 30 ya kulaghai, sasa wameishiwa mbinu!
 
Mnakimbilia jeshi la polisi badala ya kujibu hoja kwa hoja jinsi mlivyo wajinga
Mnajipeleka wenyewe. Mtu utangaze hadharani kwamba unaenda kumuua mtu fulani, unadhani polisi itakuangalia tu uende ukaue? Jamaa yenu katangaza hadharani kwamba anaenda kufanya uhaini, unataka polisi wamuangalie tu akafanye huo uhaini?

Ukiingia kwenye 18 za polisi automatically utakipata cha mtema kuni kutoka polisi kwani ndiyo kazi yao ya kikatiba.
 
Kwani unadhan hao polisi hawajachoshwa na mfumo huo
 
Kwani unadhan hao polisi hawajachoshwa na mfumo huo
Hakuna Polisi mjinga atakayebeza kutekeleza amri halali ya kukamata wasio tii sheria bila shurti ili kumfurahisha CHADEMA.?
 
Polisi wenyewe wamechoka
Labda Polisi wa kijijini kwenu. Hebu hao Polisi waliochoka Serikali waambie wakaidi maagizo. Siku ya pili wanapigwa chini na nafasi zao zinajazwa mara moja
 
ππ€π‹πŽπ™πˆ πƒπŠπ“. ππ‚π‡πˆπŒππˆ - 𝐍𝐈 πŠπŽπ’π€ πŠπ”ππ–π€ πŠπ”πŠπˆπ‹π€π™πˆπŒπˆπ’π‡π€ π‚π‡π€πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 π’πˆπ€π’π€ πŠπ”πˆππ†πˆπ€ πŠπ–π„ππ˜π„ π”π‚π‡π€π†π”π™πˆ​

πŸŽ₯ "Ni kosa kubwa sana kukilazimisha chama cha siasa kuingia kwenye uchaguzi"

"Zimeanza kusikika taarifa za baadhi ya wananchi na wana CCM wakiilazimisha CHADEMA iingie kwenye uchaguzi, ni haki yao kususia na kutoingia kwenye uchaguzi"

"...Na nina hakika rafiki yangu Tundulisu hawatakubali kupoteza haki zote mbili, atleast ya kuchagua wataitumia vizuri"

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ---- wakati akifungua mkutano maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) unaofanyika Aprili 04, 2025 Songea mkoani Ruvuma

#KaziNaUtuTunasongaMbele
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-04-07 at 15.09.20.mp4
    56.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…