Watanyooka tu, sasa wanalalama kwa nini Corona ya mbowe itangazwe hadharani!!Akina kigogo huko twitter walikuwa wanaombea kabisa, ili serikali ikome, na anamtukana kinoma umy mwalimu, lakini ndio huyo anaemhudumia mtt wa mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako finyu unaona unafanya damage control ya kosa alilofanya Makonda jana lakini ukweli ni kuwa unazidi kutia chumvi kwenye kidonda, Makonda ameharibu big time.Watanyooka tu, sasa wanalalama kwa nini Corona ya mbowe itangazwe hadharani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una utani na boss wako!! we endelea utakipata unachokitafuta.
Hahaha bavicha hawajielewinkabisaMalaika wao amepatwa na majanga
Hasira wanazihamishia kwa makonda
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umeshiba makombo toka mezani kwa ChakubangaHuyo Mtoto wa Mbowe ameshiba kodi za Watanzania
Akamatwe mara moja apigwe lupango
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si uliomba ugonjwa huu ufike Tanzania na kuna jamaa alihoji kama ki akili uko timamu? We ukasema jamaa alipewa mshiko na mamvi. Na ukadai utamvua nguo hadharani! Sababu unayafahamu maskendo yake kibao.Bashite niwakupeleka ICC maana vyombo vya ndani vimemshindwa.
We ni msemaji wa familia?Mama yao ni daktari ana fahamu hatua za kuchukua.
Ingawa mama ni daktari, taarifa ya Mbowe inaashiria kuwa uwezekano ni mkubwa kwa mtoto kuwa amewaambukiza wanafamilia kabla ya kungundulika na wao kuwaambukiza watu wengine. Taarifa hiyo inasema:Mama yao ni daktari ana fahamu hatua za kuchukua.
Bashite ni mke mdogo wa mbowe ndio kajiteua kua msemajiKwa majina anaitwa James ambowe
Kama mnavyo fahamu ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam leo afajiri aliamkia kwenye kituo cha mabasi cha Ubungo. Na akawa anazungumza na abiria wanaokwenda mikoani. Lakini Jambo la kushangaza ambalo ninaamini hata nyinyi Watanzania limewashangaza ni la bwana Makonda kujivika usemaji wa familia.