Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Kuna kesi ngapi kwa msimu zinafika TFF na je zote hati zao zinawekwa public au unataka wafanye kwakuwa umetaka weweTarehe 6 march TFF wamesema hati inawekwa public?
Kwe.ye maamuzi ya awali hawakusema hivyo?
Huelewi hata unaandika nini ili ujibu nini
Swala la kuvunja Mkataba sio utovu wa nidhamu. Kajifunze hilo kwanzaHaya mambo ni oversize kwako, Feisal atapewa adhabu na club yake kwa utovu wa nidhamu kama atarudi kambini endapo ata kaidi Yanga wata fungua kesi nyingine ya kuto futatwa kwa vipengere vya mkataba pamoja na hilo la kutoitumikia timu akiwa na mkataba ulitaka wamuadhibu vipi wakati kesi ilikua ni kupitia uhali wa mkataba
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sijataja ushauri
Nataka hoja ijibiwe kwa majibu sahihi
TFF ndio ya kuitilia mashaka kwasababu haikuwa na sababu ya kulifanya hili jambo gizani wakati kesi nyingi tumeziona wakitolea mchanganuo mbele ya camera
Kesi ngapi kwa msimu hayo ni mahesabu ya namba na mi sio mhasibuKuna kesi ngapi kwa msimu zinafika TFF na je zote hati zao zinawekwa public au unataka wafanye kwakuwa umetaka wewe
Kama ambavyo we sio mhasibu basi na hii issue elewa wewe sio mhusika, wahusika wameridhika na mfumoKesi ngapi kwa msimu hayo ni mahesabu ya namba na mi sio mhasibu
Prolly hizo kesi hazijawahi kuwa na attention kubwa ya kufanya watu wazifatilie
Na pengine hizo ndio kesi ambazo zinaamuliwa kwa maamuzi ya haki kabisa kwasababu wahusika hawana connection ya Usimba na Uyanga
Nani asiyejua kuwa kwenye kesi huwa kunakuwa na pande mbili?Kwenye kesi kulikuwa na pande mbili, upande wa Yanga na jopo lake la wanasheria na pia Feisal pamoja na watu aliyewaamini wanaweza kumsimamia kupata haki yake kisheria. Sasa kama unatilia mashaka maaanake unatilia mashaka hadi wanasheria wa Feitoto. Kwanini nimesema hivyo?
Kwasababu wao ndio walikuwa kwenye ile kesi ni wanasheria na baada ya hukumu kutolewa ilipaswa wao ndio watoe malalamiko kwa wananchi kupitia vyombo vya habari kuwa hukumu hatujalizika nayo tunataka twende mbele.
Kwenye kesi ya Morrison sikuwa mhasibu wala sikuwa mhusika lakini ufafanuzi ulitolewa publicKama ambavyo we sio mhasibu basi na hii issue elewa wewe sio mhusika, wahusika wameridhika na mfumo
Hayo ni maamuzi yao kwani kuna sheria ambayo inayosema kuwa umma lazima na wao wapewe ufafanuzi kutoka TFF? Wahusika wa kesi wameshapewa ufafanuzi na wao wanaweza kutoa maoni yao kuwa haki imetendeka au lah. Na kama haikutendeka wanayo haki ya kwenda juu zaidi.Nani asiyejua kuwa kwenye kesi huwa kunakuwa na pande mbili?
Kwani swala la Morrison kuwekwa public kunamaanisha hakukuwa na watu pande mbili?
Hapa nazungumzia swala zima la TFF kutotoa ufafanuzi wa hukumu ya Feisal kwa umma, sio habari za mawakili wake walikuwepo kwa hiyo unatakiwa uwaamini
Mlalamikaji Feisal, na mlalamikiwa ni Yanga. Mimi pia natamani kufahamu grounds walizotumia TFF kupitisha maamuzi kwamba Feisal bado ni mali ya Yanga.TFF lazima ieleze ni kivipi mkataba umekiukwa na sheria ipi iliyovunjwa inayomfanya Feisal aendelee kuwa chini ya umiliki wa Yanga
Mfano kesi ya Morrison walibainisha mkataba ulikuwa una mapungufu upande wa tarehe na sehemu ya mihuri, wakataja na vitu vingine kibao na vifungu vinavyo hukumu
Why ishu ys Feisal ifanyike gizani?
Na mie nashangaa hapo tyuuh. Sijui TFF ina nn lakini.Sababu za undani zitatolewa kwa wahusika wa shauri hilo
Yale yale kufanya mambo gizani kuwaficha watu wasiweze kukosoa endapo kuna ukiukwaji wa sheria umefanyika
Wewe sema tu labda una chuki binafsi na Fatuma!!eti kesi za kisiasa ndio zipi hizo?eti tatizo limeanzia hapo!!kesi ya msingi ilishaisha ,zamani na kutupiliwa mbali hii yalikuwa ni mapitio tu.🤣🤣🤣Ujue kwenye sheria hawa wanasheria wanakuwa wanabobea katika kusimamia kesi za aina fulani,mfano kuna ambao wanaziweza kesi za mashamba,wengine kesi za kisiasa,wengine za Jinai n.k
Nilipoona mwanasheria wa Fei ni Fatma karume nikasema tu hapa yaleyale hela imeshaenda maana sidhani kama Fatuma ana uwezo wa kuchambua vifungu vya kimichezo vya FIFA kiuweledi kabisa,sidhani maana simjui kiundani ,tatizo limeanzia hapo
Sio sheria ila ni utaratibuHayo ni maamuzi yao kwani kuna sheria ambayo inayosema kuwa umma lazima na wao wapewe ufafanuzi? Kwani ni kesi inayohusu jamuhuri? Wahusika wa kesi wameshapewa ufafanuzi na wao wanaweza kutoa maoni yao kuwa haki imetendeka au lah. Na kama haikutendeka wanayo haki ya kwenda juu zaidi.
Sasa hukumu si ishatoka, waweke wazi hukumu hii ulipitia mchakato upi hadi kupatikana.Mahakama gani umewahi kuona inaweka mwenendo wa kesi gazetini zaidi ya hukumu? Mbona mnajitoa ufahamu kama watoto?
Hakuna usiri wa Mkataba linapofika swala la hukumuMlalamikaji Feisal, na mlalamikiwa ni Yanga. Mimi pia natamani kufahamu grounds walizotumia TFF kupitisha maamuzi kwamba Feisal bado ni mali ya Yanga...
Ki vipi?
Yani kuwa anaetakiwa arudi mazoezini kigamboni?
Sasa kwanini yanga walisema wataboresha mkataba?
Nendaa kwenye case hiyo kaitaje Azam na Yusuph [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapigwa na TFF sababu wao ndio wenye mpira wao na Yanga ni mwanachama wao.
Kwanza tushukuru tu Tz sio kama ulaya ila mbele ,wasingeishia hapo ,wangetrace ile mil 110 imetoka kwa Fei au kwa timu nyingine.
Tunajua nyuma hili sakata yupo Azam na Yusuph, sema kibongo bongo hili hatuto lifuatilia.
Kesi inamuhusu Feisal na Yanga, huyo mama anataka nani mwingine awekwe wazi? Anajua kilichomo kwenye mkataba?Kwanza sio kweli kuwa mdaiwa aliridhia wasome hadharani na hata ushahidi wa hili najua huna, umeandika tu kuifamya stori yako iwe convincing....
Wee kuna siku nilikuchana wazi, usijifichee wee ni shabiki wa yanga kuwa huruuu,.etii oooh mie shabiki wa mpira, niko neutral nasimama kwenye ukweli.Kuna watu Wana viwango vya chini vya uelewa mpaka unashangaa wanatembeaje barabarani bila kugongwa na magari.
Haipo hivyoKesi inamuhusu Feisal na Yanga, huyo mama anataka nani mwingine awekwe wazi? Anajua kilichomo kwenye mkataba?
Mimi nadhani sisi ambao hatuhusiki, tuendelee kuwasikiliza Yanga, Feisal na TFF. Sidhani kama kuna kanuni tunayoweza kuitumia kulazimisha kufahamishwa.
By the way, ukitumia maneno ya Mama wa Feisal kuijadili hii kesi, lazima utaenda chaka. Inafahamika uchungu wa mzazi kwa mwanae, hawezi kua rational. Ndio maana tumeambiwa hadi habari za mtu kulishwa ugali na sukari.