Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Tarehe 6 march TFF wamesema hati inawekwa public?

Kwe.ye maamuzi ya awali hawakusema hivyo?

Huelewi hata unaandika nini ili ujibu nini
Kuna kesi ngapi kwa msimu zinafika TFF na je zote hati zao zinawekwa public au unataka wafanye kwakuwa umetaka wewe
 
Haya mambo ni oversize kwako, Feisal atapewa adhabu na club yake kwa utovu wa nidhamu kama atarudi kambini endapo ata kaidi Yanga wata fungua kesi nyingine ya kuto futatwa kwa vipengere vya mkataba pamoja na hilo la kutoitumikia timu akiwa na mkataba ulitaka wamuadhibu vipi wakati kesi ilikua ni kupitia uhali wa mkataba

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Swala la kuvunja Mkataba sio utovu wa nidhamu. Kajifunze hilo kwanza

Mahakama ikishaamua kwa kutoa hukumu lazima hukumu ifanyike kupitia mamlaka za kimahakama na sio uongozi wa Club

So kama Feisal amegundulika kafanya kosa kuvunja mkataba basi mahakama ndio yenye wajibu wa kutoa adhabu na sio Yanga.

Yanga sio mahakama mpaka itoe hukumu na ndio maana nimekuuliza kwenye ishu ya Morrison uliona Club ndio iliyotoa hukumu ya faini au ni Mahakama?
 
Sijataja ushauri

Nataka hoja ijibiwe kwa majibu sahihi

TFF ndio ya kuitilia mashaka kwasababu haikuwa na sababu ya kulifanya hili jambo gizani wakati kesi nyingi tumeziona wakitolea mchanganuo mbele ya camera

Kwenye kesi kulikuwa na pande mbili, upande wa Yanga na jopo lake la wanasheria na pia Feisal pamoja na watu aliyewaamini wanaweza kumsimamia kupata haki yake kisheria. Sasa kama unatilia mashaka TFF maaanake unatilia mashaka hadi wanasheria wa Feitoto. Kwanini nimesema hivyo?

Kwasababu wao ndio walikuwa kwenye ile kesi ni wanasheria na baada ya hukumu kutolewa ilipaswa wao ndio watoe malalamiko kwa wananchi kupitia vyombo vya habari kuwa hukumu hatujalizika nayo tunataka twende mbele.
 
Kuna kesi ngapi kwa msimu zinafika TFF na je zote hati zao zinawekwa public au unataka wafanye kwakuwa umetaka wewe
Kesi ngapi kwa msimu hayo ni mahesabu ya namba na mi sio mhasibu

Prolly hizo kesi hazijawahi kuwa na attention kubwa ya kufanya watu wazifatilie

Na pengine hizo ndio kesi ambazo zinaamuliwa kwa maamuzi ya haki kabisa kwasababu wahusika hawana connection ya Usimba na Uyanga
 
Kesi ngapi kwa msimu hayo ni mahesabu ya namba na mi sio mhasibu

Prolly hizo kesi hazijawahi kuwa na attention kubwa ya kufanya watu wazifatilie

Na pengine hizo ndio kesi ambazo zinaamuliwa kwa maamuzi ya haki kabisa kwasababu wahusika hawana connection ya Usimba na Uyanga
Kama ambavyo we sio mhasibu basi na hii issue elewa wewe sio mhusika, wahusika wameridhika na mfumo
 
Kwenye kesi kulikuwa na pande mbili, upande wa Yanga na jopo lake la wanasheria na pia Feisal pamoja na watu aliyewaamini wanaweza kumsimamia kupata haki yake kisheria. Sasa kama unatilia mashaka maaanake unatilia mashaka hadi wanasheria wa Feitoto. Kwanini nimesema hivyo?

Kwasababu wao ndio walikuwa kwenye ile kesi ni wanasheria na baada ya hukumu kutolewa ilipaswa wao ndio watoe malalamiko kwa wananchi kupitia vyombo vya habari kuwa hukumu hatujalizika nayo tunataka twende mbele.
Nani asiyejua kuwa kwenye kesi huwa kunakuwa na pande mbili?

Kwani swala la Morrison kuwekwa public kunamaanisha hakukuwa na watu pande mbili?

Hapa nazungumzia swala zima la TFF kutotoa ufafanuzi wa hukumu ya Feisal kwa umma, sio habari za mawakili wake walikuwepo kwa hiyo unatakiwa uwaamini
 
Kama ambavyo we sio mhasibu basi na hii issue elewa wewe sio mhusika, wahusika wameridhika na mfumo
Kwenye kesi ya Morrison sikuwa mhasibu wala sikuwa mhusika lakini ufafanuzi ulitolewa public
 
Nani asiyejua kuwa kwenye kesi huwa kunakuwa na pande mbili?

Kwani swala la Morrison kuwekwa public kunamaanisha hakukuwa na watu pande mbili?

Hapa nazungumzia swala zima la TFF kutotoa ufafanuzi wa hukumu ya Feisal kwa umma, sio habari za mawakili wake walikuwepo kwa hiyo unatakiwa uwaamini
Hayo ni maamuzi yao kwani kuna sheria ambayo inayosema kuwa umma lazima na wao wapewe ufafanuzi kutoka TFF? Wahusika wa kesi wameshapewa ufafanuzi na wao wanaweza kutoa maoni yao kuwa haki imetendeka au lah. Na kama haikutendeka wanayo haki ya kwenda juu zaidi.
 
TFF lazima ieleze ni kivipi mkataba umekiukwa na sheria ipi iliyovunjwa inayomfanya Feisal aendelee kuwa chini ya umiliki wa Yanga

Mfano kesi ya Morrison walibainisha mkataba ulikuwa una mapungufu upande wa tarehe na sehemu ya mihuri, wakataja na vitu vingine kibao na vifungu vinavyo hukumu

Why ishu ys Feisal ifanyike gizani?
Mlalamikaji Feisal, na mlalamikiwa ni Yanga. Mimi pia natamani kufahamu grounds walizotumia TFF kupitisha maamuzi kwamba Feisal bado ni mali ya Yanga.

Lakini hatujui mkataba wa Yanga na Feisal uko na makubaliano gani. Pengine kuna vipengele vinavyolazimisha usiri wa mjadala wowote kuhusiana huo mkataba. Ndio maana tunaolalamika kwamba TFF hawajaweka wazi, ni sisi mashabiki. Feisal na Wakili wake wamefahamishwa.

Hata mahakamani, kuna maamuzi huwa yanafanyika ofisini wa Hakimu/jaji wakiwepo mawakili wa pande mbili. Walimwengu waliokuja mahakamani hawawezi kulazimisha kufahamishwa kilichojadiliwa huko ofisini. Wao wanatangaziwa maamuzi tu.

Nadhani ili uitetee hoja yako vizuri, inabidi utuambie kama TFF wanatakiwa kikanuni kutoa huo ufafanuzi. Kama haipo kanuni inayowalazimisha kufanya hivyo, basi hatuwezi kuwalazimisha!
 
Nmeona watanzania wengi wanalalamika Fei aonewe huruma niwe muwazi kabisa nimepoteza mambo meng sababu ya kufanya vitu bila maandish nikaja kuona kila ninacho fanya lazma tuandikishane tusije kusumbuana badae na watu.

Funzo kwa maisha ya kawaida mkataba ni muhimu sana utafanya upate haki zako za msingi au ukose tuache kufanya vitu kwa mali kauli n.k.

Feitoto arudi yanga ajitume asuburi mkataba uishe ajitume vizur ili aweze kupata mashavu mkataba ukiisha asiangalie nn kimetokea apambane acheze kiwango kile kile naona hii ndo itamsaidia
 
Sababu za undani zitatolewa kwa wahusika wa shauri hilo

Yale yale kufanya mambo gizani kuwaficha watu wasiweze kukosoa endapo kuna ukiukwaji wa sheria umefanyika
Na mie nashangaa hapo tyuuh. Sijui TFF ina nn lakini.
 
🤣🤣🤣Ujue kwenye sheria hawa wanasheria wanakuwa wanabobea katika kusimamia kesi za aina fulani,mfano kuna ambao wanaziweza kesi za mashamba,wengine kesi za kisiasa,wengine za Jinai n.k

Nilipoona mwanasheria wa Fei ni Fatma karume nikasema tu hapa yaleyale hela imeshaenda maana sidhani kama Fatuma ana uwezo wa kuchambua vifungu vya kimichezo vya FIFA kiuweledi kabisa,sidhani maana simjui kiundani ,tatizo limeanzia hapo
Wewe sema tu labda una chuki binafsi na Fatuma!!eti kesi za kisiasa ndio zipi hizo?eti tatizo limeanzia hapo!!kesi ya msingi ilishaisha ,zamani na kutupiliwa mbali hii yalikuwa ni mapitio tu.

Na hii kesi ipo wazi tu hata achukue mawakili 100 wa kimataifa hawezi shinda!!Hapa sasa ni Yanga kuamua kumuuza tu kwa timu inayomuhitaji.

Ndio maana kuna mikataba wewe unakurupuka tu huko eti navunja mkataba tena wa mpira wa mguu kienyeji?!!kama unavunja mkataba wa ajira hizi za kawaida?!!za kutoa notice ya saa 24 na kurudisha mshahara wa mwezi?!!
 
Hayo ni maamuzi yao kwani kuna sheria ambayo inayosema kuwa umma lazima na wao wapewe ufafanuzi? Kwani ni kesi inayohusu jamuhuri? Wahusika wa kesi wameshapewa ufafanuzi na wao wanaweza kutoa maoni yao kuwa haki imetendeka au lah. Na kama haikutendeka wanayo haki ya kwenda juu zaidi.
Sio sheria ila ni utaratibu

Unapoona jambo fulani ambalo watu wanategemea kulisikia public kama walivyozoea na wewe ukalifanya kwa siri wakati jambo kama hilo lilishawahi kutokea na ukaliweka bayana basi utaonekana kuwa kwemye jambo hili una interest zako binafsi, kama ambavyo watu wamekuwa wakikushuku.

So point ilikuwa ni kama kweli haki imetendeka kwanini wasiitwe waandishi qa habari watu wakahoji kilichotolewa hukumu?
 
Mahakama gani umewahi kuona inaweka mwenendo wa kesi gazetini zaidi ya hukumu? Mbona mnajitoa ufahamu kama watoto?
Sasa hukumu si ishatoka, waweke wazi hukumu hii ulipitia mchakato upi hadi kupatikana.

Sasa unakataa nini?
 
Mlalamikaji Feisal, na mlalamikiwa ni Yanga. Mimi pia natamani kufahamu grounds walizotumia TFF kupitisha maamuzi kwamba Feisal bado ni mali ya Yanga...
Hakuna usiri wa Mkataba linapofika swala la hukumu

Hata wewe mwenyewe ukianza ku-imagine kwemye mkataba wa Feisal kitu gani ambacho kitakuwa ni siri, jibu la kwanza kufirikia itakuwa nini?

Pesa ya makubaliano yao?

Mbona inajulikana kuwa ni 4M per month

Au ni thamani ya mkataba?

Mbona inajulikana ni 100M

Usiri uko wapi wakati viongozi na mawakili wa Yanga maredioni wanapigiwa simu kuongelea mkataba na wanasema hadi vifungu vya mkataba?
 
Ki vipi?
Yani kuwa anaetakiwa arudi mazoezini kigamboni?
Sasa kwanini yanga walisema wataboresha mkataba?

Walisema kama yupo radhi kurejea, na walisema hivyo kama sehemu ya kumuonea huruma
 
Unapigwa na TFF sababu wao ndio wenye mpira wao na Yanga ni mwanachama wao.

Kwanza tushukuru tu Tz sio kama ulaya ila mbele ,wasingeishia hapo ,wangetrace ile mil 110 imetoka kwa Fei au kwa timu nyingine.

Tunajua nyuma hili sakata yupo Azam na Yusuph, sema kibongo bongo hili hatuto lifuatilia.
Nendaa kwenye case hiyo kaitaje Azam na Yusuph [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mmevurugwa vibayaas, kwan ulaya ipi unasema wee

Neymar aliendaje PSG kutoka Barca?
 
Kwanza sio kweli kuwa mdaiwa aliridhia wasome hadharani na hata ushahidi wa hili najua huna, umeandika tu kuifamya stori yako iwe convincing....
Kesi inamuhusu Feisal na Yanga, huyo mama anataka nani mwingine awekwe wazi? Anajua kilichomo kwenye mkataba?

Mimi nadhani sisi ambao hatuhusiki, tuendelee kuwasikiliza Yanga, Feisal na TFF. Sidhani kama kuna kanuni tunayoweza kuitumia kulazimisha kufahamishwa.

By the way, ukitumia maneno ya Mama wa Feisal kuijadili hii kesi, lazima utaenda chaka. Inafahamika uchungu wa mzazi kwa mwanae, hawezi kua rational. Ndio maana tumeambiwa hadi habari za mtu kulishwa ugali na sukari.
 
Kuna watu Wana viwango vya chini vya uelewa mpaka unashangaa wanatembeaje barabarani bila kugongwa na magari.
Wee kuna siku nilikuchana wazi, usijifichee wee ni shabiki wa yanga kuwa huruuu,.etii oooh mie shabiki wa mpira, niko neutral nasimama kwenye ukweli.

Leo umeshindwa kujificha umeona ujioneshe waziiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee sanaaaaa
 
Kesi inamuhusu Feisal na Yanga, huyo mama anataka nani mwingine awekwe wazi? Anajua kilichomo kwenye mkataba?

Mimi nadhani sisi ambao hatuhusiki, tuendelee kuwasikiliza Yanga, Feisal na TFF. Sidhani kama kuna kanuni tunayoweza kuitumia kulazimisha kufahamishwa.

By the way, ukitumia maneno ya Mama wa Feisal kuijadili hii kesi, lazima utaenda chaka. Inafahamika uchungu wa mzazi kwa mwanae, hawezi kua rational. Ndio maana tumeambiwa hadi habari za mtu kulishwa ugali na sukari.
Haipo hivyo

Ukisema hivyo utajikuta unawakataa hata mawakili wanaomtetea Feisal kwasababu nao hawahusiki kwenye mkataba wa Yanga na Feisal ila wapo

Point yangu ilikuwa kuonesha msimamo wa mzazi kumuwakilisha mwanae

Yani alichokisema mzazi ndio kile ambacho Feisal anakiamini. Kwa hiyo hoja yako ya kusema Feisal hakutoa idhini sidhani kama itakuwa na mashiko kwasababu tukisikiliza kauli ya mzazi wake pamoja na wakili wake wote walitaka hili jambo liwe public
 
Back
Top Bottom