Ni adhabu kwa Fei, Mpira sio kama Mvinyo kwamba unavyokaa ndani muda mrefu ndo thamani yake inaongezeka! Mpira ukisugua benchi sana kiwango kinashuka na automatic bei au dau lako linaporomoka zaidi.Hii ni adhabu kwa Yanga au Fei?
Sijasema ni sehemu ya mkataba nimesema ni sehemu ya wanaowakilisha msimamo wa FeisalMama yake ni sehemu ya mkataba?
Umri wa Feisal ni zaidi ya miaka 18. Kwahiyo mama yake hahusiki na mikataba anayoingia Feisal.
Ndio, mama yake pia ni shabiki.
Kwani case zingine walivyoweka wazi walitumia kanuni ipii?Unaposema "lazima" unamaanisha nini?
Kwamba kuna kanuni inayowalazimisha kufanya hivyo? Ni kanuni ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usinichekeshee mie hapa, khaaaahManara ni.mchambuzi mzuri tu wa mpira, tatizo lake ni hasira, anapokuwa kwenye jopo la.wachambuzi anapenda mtazamo wake ndio uheshimiwe.
Hatambuliki kisheria. Kwenye mkataba husika, wanatambulika Yanga na Feisal. Wengine wote no third parties!Sijasema ni sehemu ya mkataba nimesema ni sehemu ya wanaowakilisha msimamo wa Feisal
Mbona morrison amepewa sana adhabu kipindi cha babraSwala la kuvunja Mkataba sio utovu wa nidhamu. Kajifunze hilo kwanza
Mahakama ikishaamua kwa kutoa hukumu lazima hukumu ifanyike kupitia mamlaka za kimahakama na sio uongozi wa Club
So kama Feisal amegundulika kafanya kosa kuvunja mkataba basi mahakama ndio yenye wajibu wa kutoa adhabu na sio Yanga.
Yanga sio mahakama mpaka itoe hukumu na ndio maana nimekuuliza kwenye ishu ya Morrison uliona Club ndio iliyotoa hukumu ya faini au ni Mahakama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaa sanaaa wee??Nani kavurugwa mpaka sasa,tokea alivyo ondoka na sasa ww unaona kunautofauti Yanga.
Aliondoka ila kwa kukaa na Barca au kamu unajua tofauti ni juavyo niambie.
Mikataba yao haikua na vipengele vya usiri. Alafu sio kila siku ni jumapili.Kwani case zingine walivyoweka wazi walitumia kanuni ipii?
Itakuwa umezaliwa Juzi tu hapo, MANARA ni mchambuzi mahiri wa mpira, kama ulivyowaona akina ALI MAYAI pale Azam, huyo Manara alikuwa mchambuzi wa Soka nguli, UEFA, WORLD CUP, FA nk. Sio mchambuzi mdogo, hapo Cloudz sidhani kama kuna mtu anamfikia, tactical, technical nk, kama hujui uliza.Haji manara ni mchambuzi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msitake watu wapaliwe kwa kucheka.
Wee ndo unaetaka kudanganya watu hapaaa, as if shule uelewa unao pekee ako. Usituchoshee bhana wee.
Neymar hakuununua mkataba wake. PSG walilipa release clause, baada ya kupeleka taarifa rasmi kwa Barcelona kua wanayo nia ya kumsajili Neymar.Na mie nashangaa hapo tyuuh. Sijui TFF ina nn lakini.
Huna hata unacho kiandika, yaan TFF ishindwe kufanya sehemu yake kisa usiri wa Yanga na Feisal?? Tatizo hujataka kuwa muelewaaa.Mikataba yao haikua na vipengele vya usiri. Alafu sio kila siku ni jumapili.
Mi sijasema anatambulika kisheria, nimebainisha kuwa msimamo wa Feisal ndio kile alichokizungumza mzazi wakeHatambuliki kisheria. Kwenye mkataba husika, wanatambulika Yanga na Feisal. Wengine wote no third parties!
IrrelevantMbona morrison amepewa sana adhabu kipindi cha babra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msinichosheee na hizi futuhi zenu mie.Itakuwa umezaliwa Juzi tu hapo, MANARA ni mchambuzi mahiri wa mpira, kama ulivyowaona akina ALI MAYAI pale Azam, huyo Manara alikuwa mchambuzi wa Soka nguli, UEFA, WORLD CUP, FA nk. Sio mchambuzi mdogo, hapo Cloudz sidhani kama kuna mtu anamfikia, tactical, technical nk, kama hujui uliza.
Naomba kuulizaNeymar hakuununua mkataba wake. PSG walilipa release clause, baada ya kupeleka taarifa rasmi kwa Barcelona kua wanayo nia ya kumsajili Neymar.
Ndio maana Yanga wanasema huyo anaetaka kumsajili Feisal, ajitokeze waongee.
We mtoto wa shambani huwezi kujua hiyo habari. Manara alikuwa mchambuzi wa Mpira, CHANNEL TEN, ITV, TVT (TBC), nk nk, kipindi hiko ITV wanaonesha UEFA nk.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msinichosheee na hizi futuhi zenu mie.
Kwani lengo la viongozi wa Yanga ni kushusha kiwango cha Fei?Ni adhabu kwa Fei, Mpira sio kama Mvinyo kwamba unavyokaa ndani muda mrefu ndo thamani yake inaongezeka! Mpira ukisugua benchi sana kiwango kinashuka na automatic bei au dau lako linaporomoka zaidi.
Sijui kwanini watu hawaoni logic ya hii issue.
Wewe umesema mahahakama ndio zinapaswa kuhukumu...kwahiyo kipindi mlipokuwa mnamsimamisha morrison kucheza mlikuwa mnatumia mahakama gani?Irrelevant
Hakuna sheria inayomlazimisha kuweka vitu hadharani kama uliona swala la Morrison wameweka hadharani shukuruMimi hata hiyo hiyo mahakama naona inatosha
Ila waweke kila kitu mezani kubainisha hukumu imetolewa kupitia references za vifungu gani watu tujue
Hili swala la kufanya vitu kizani ndio ishu nayoikataa.