Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali


Haya mashirika ya kimataifa sio wajinga kisa Mbowe kashikiliwa
 
Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
ulipiga kura?
 
Kwa taarifa yako hata mama wa kambo hatakuwa salama sana, ni kweli katiba hii dhaifu itampa mama wa kambo nguvu ya vyombo vya dola kwa muda, lakini ukweli hautakuwa upande wake, hivyo itamcost hata yeye.
lini?
 
Nani anafanya kazi nyuma ya Mama na kum'badilisha ghafla misimamo yote aliyoanza nayo na kuiamini?
Misimamo ambayo Chadema wanaipinga.

Yaani Chadema bhana, hahahaahahahah. Wanataka nchi iendeshwe wanavyotaka wao. Kupitia ilani yao labda

Hahahaahahha
 
Kwa hiyo ?
 
una ushahidi wa yoyote aliyeshushwa kweny bus na kupigwa!?
 
Wewe punguani kweli yaani hiyo mfalme wenu anamtisha rais mnataka rais afanyeje? Si mnasema mtatumia wembe ule ule mnalia lia nini sasa.
Nashangaa sana. Wao walisema watamnyoa, haya sasa twende kazi
 
Kabisa mkuu kawa Mama wa kambo. Washauri wanamtoa kwenye reli.Nataraji Mama ashangaze watu kwa maamuzi ya haraka kulinda na kujenga heshima yake.Piga chini IGP,RC Mza.
Endelea kuota. Kumeshakucha na Sisi tayari tupo maofisini tunajenga nchi
 
Kudai katiba mpya nivurugu?
Waliambiwa wasubiri kidogo kulikuwa na ulazima gani kufosi si wangesubiri tuone kama mama asingewasikiliza mbowe na cdm walitaka kumpanda mama kichwani hawaana adabu kabisa wameyataka wenyewe mama alianza vizur kuachia watu magerezani,kuwafutia kesi wapinzani wao shukurani yao ni kumtukana yaan mbowe utafikiri kale katoto kameona baba hayupo ndo kanamsumbua dada wa Kaz ,,Sasa acha ajute
 
Kwani kutaka katiba mpya nilazima rais atoe ruhusa
 
Nashangaa sana. Wao walisema watamnyoa, haya sasa twende kazi
Sasa hivi wataanza kukusanya michango, Mbowe anawambia polisi kama wanaweza wanikamate mimi anakamatwa wanaanza kulia lia.
 
Nakubaliana na wewe kwamba amemchokoza mnyama mkali aliyekuwa anajidai kondoo huku ameficha kucha na meno. Cdm wamefanya vema kumtoa nyoka pangoni pamoja na kwamba anasumu Kali afadhali kumpbana naye akiwa peupe
 
I agree with you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…