Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Nilivyomaliza form four Babu yangu alinisa kabisa nikae mbali na kazi ya uPolice...sasa nimeshajua babu yangu alimànisha nini...Police ni kazi ya laana
ulipiga kura?Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
Hahahaahahahahahahah.Very good, CCM Ni ileile mwendo uleule, kubambikiza watu kesi. Mama ajiandae kwa mwisho mbaya kama mwendazake
lini?Kwa taarifa yako hata mama wa kambo hatakuwa salama sana, ni kweli katiba hii dhaifu itampa mama wa kambo nguvu ya vyombo vya dola kwa muda, lakini ukweli hautakuwa upande wake, hivyo itamcost hata yeye.
Misimamo ambayo Chadema wanaipinga.Nani anafanya kazi nyuma ya Mama na kum'badilisha ghafla misimamo yote aliyoanza nayo na kuiamini?
Kwa hiyo ?Kwa kilichofanyika mwanza kufunga barabara kuwashusha wananchi kwenye mabasi kuwakamata kuwapiga kumsafisha mbowe kwa gharama kubwa kwenda huko Dsm kumsachi tu ni Aibu na fedheha kwa utawala wa mama na tayari Nchi imepata Doa kwenye jumuia za kimataifa
una ushahidi wa yoyote aliyeshushwa kweny bus na kupigwa!?Kwa kilichofanyika mwanza kufunga barabara kuwashusha wananchi kwenye mabasi kuwakamata kuwapiga kumsafisha mbowe kwa gharama kubwa kwenda huko Dsm kumsachi tu ni Aibu na fedheha kwa utawala wa mama na tayari Nchi imepata Doa kwenye jumuia za kimataifa
Nashangaa sana. Wao walisema watamnyoa, haya sasa twende kaziWewe punguani kweli yaani hiyo mfalme wenu anamtisha rais mnataka rais afanyeje? Si mnasema mtatumia wembe ule ule mnalia lia nini sasa.
Endelea kuota. Kumeshakucha na Sisi tayari tupo maofisini tunajenga nchiKabisa mkuu kawa Mama wa kambo. Washauri wanamtoa kwenye reli.Nataraji Mama ashangaze watu kwa maamuzi ya haraka kulinda na kujenga heshima yake.Piga chini IGP,RC Mza.
Waliambiwa wasubiri kidogo kulikuwa na ulazima gani kufosi si wangesubiri tuone kama mama asingewasikiliza mbowe na cdm walitaka kumpanda mama kichwani hawaana adabu kabisa wameyataka wenyewe mama alianza vizur kuachia watu magerezani,kuwafutia kesi wapinzani wao shukurani yao ni kumtukana yaan mbowe utafikiri kale katoto kameona baba hayupo ndo kanamsumbua dada wa Kaz ,,Sasa acha ajuteKudai katiba mpya nivurugu?
Kwani kutaka katiba mpya nilazima rais atoe ruhusaWaliambiwa wasubiri kidogo kulikuwa na ulazima gani kufosi si wangesubiri tuone kama mama asingewasikiliza mbowe na cdm walitaka kumpanda mama kichwani hawaana adabu kabisa wameyataka wenyewe mama alianza vizur kuachia watu magerezani,kuwafutia kesi wapinzani wao shukurani yao ni kumtukana yaan mbowe utafikiri kale katoto kameona baba hayupo ndo kanamsumbua dada wa Kaz ,,Sasa acha ajute
Sasa hivi wataanza kukusanya michango, Mbowe anawambia polisi kama wanaweza wanikamate mimi anakamatwa wanaanza kulia lia.Nashangaa sana. Wao walisema watamnyoa, haya sasa twende kazi
Nakubaliana na wewe kwamba amemchokoza mnyama mkali aliyekuwa anajidai kondoo huku ameficha kucha na meno. Cdm wamefanya vema kumtoa nyoka pangoni pamoja na kwamba anasumu Kali afadhali kumpbana naye akiwa peupeUkishika mkia wa mnyama mkali lazima akushughulikie. Ukikaribishwa sebuleni usifanye haraka kutaka kuingia chumbani bali subiri ukaribishwe chumbani baadaye.
Vingenevyo unaweza ukafikiriwa kwamba wewe ni mwizi kumbe siyo. Hekima inatakiwa unapotekeleza- mikakati ya kukabiliana na adui/mshindani wako. Amemlazimisha mama kwenda maili nyingi. Ajiandae !
I agree with youUkishika mkia wa mnyama mkali lazima akushughulikie. Ukikaribishwa sebuleni usifanye haraka kutaka kuingia chumbani bali subiri ukaribishwe chumbani baadaye.
Vingenevyo unaweza ukafikiriwa kwamba wewe ni mwizi kumbe siyo. Hekima inatakiwa unapotekeleza- mikakati ya kukabiliana na adui/mshindani wako. Amemlazimisha mama kwenda maili nyingi. Ajiandae !
Wembe unanolewa😂😂😂Ngoma inogile