Mimi yashanichosha haya mambo najionea upuuzi tu.wamepata walichokitaka, wameongelewa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, Samia ameshapata doa kwenye uongozi wake, alikuwa ameanza kwa kusifiwa na media za nje kwa kuirudisha demokrasia na utawala bora...sasa hivi wanaojiita wanaharakati kama akina Maria wanasherekea kwa sababu relevancy yao inabaki and wanatengeneza mpunga zaidi !
Rais mwanamke wa kwanza Africa kuingia kwenye record ya u dictator.Washauri wa mama huenda wamepanga njama za kumharibia lakini yeye hajajua undani wake kaingia mkenge kiwepesi sasa jumuia za kimataifa zitamlaani vikali sana
Hiyo ni kula ya watu, wamekuwa "vindicated" kuwa mama ankandamiza upinzani, ni diktekta...angeendelea kuupiga mwingi wangekosa cha kusema, wangekosa mafungu ya hela ya kusukuma hashtag #FreeMbowe #KatibaMpya etc.Mimi yashanichosha haya mambo najionea upuuzi tu.
Siku moja tu ameshawapatia hao wanaojiita wanaharakati kiki ya kutosha...hapo wanaandaa proposal za kupiga mpunga kwa jina la uzalendo na kupigania demokrasiaMama ilitakiwa apate personal mentor wa kumsaidia kufikiri Ili kumshape na sio hawa wanafiki wapo kazini kumuharibia.
Hii ni michezo inachezwa na jiwe gang.
Wapo kimkakati zaidi 2025.
Crap!!Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Basi hilo neno Dikteta litatumika kwa kila rais atakayekuja kuanzia sasa, ni bahati yao tu hao marais waliyopita hawakupata hilo neno halikutumika. Siasa za Tanzania zinafurahisha sana.Rais mwanamke wa kwanza Africa kuingia kwenye record ya u dictator.
Ndio maana nilisema Chadema bila hizi hizi chokochoko wanajiona hawajafanya siasa hapa Tanzania, wametafuta kila njia mpaka wamepata walichokitaka et sasa mama nae ni dikteta!Hiyo ni kula ya watu, wamekuwa "vindicated" kuwa mama ankandamiza upinzani, ni diktekta...angeendelea kuupiga mwingi wangekosa cha kusema, wangekosa mafungu ya hela ya kusukuma hashtag #FreeMbowe #KatibaMpya etc.
What does being undemocratic mean to you ?What do you mean by "no effect"?
What metrics are you using in a country where practically everything important is afflicted by "no data available"?
Are you so medieval and brute that you don't care even about the country's image?
Have you read Amnesty International's release on the matter?
Can you honestly say this does not have any impact when Tanzania is donor dependent when it comes to fulfilling its budgetary obligations?
Do you want to validate the people who say Tanzania is an undemocratic shithole?
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Mbowe na wenzake wanataka kutuletea vurugu wakati watanzania tumezoea Amani.Hakuna cha Siri wala mipango yeyote na Polisiccm hawana taarifa yeyote zaidi ya wewe na wajinga wenzako kutengeneza propaganda na mazingira ya kishamba kidwanzi ili mpate kisingizio cha kuwabambikia kesi, acheni ujinga mungu anawaona, mama alianza vizuri lakini nyinyi wajinga mmemshauri vibaya ataenda kuitia Doa demokrasia ya Tanzania
MiCCM haina hoja. Inachojua tu ni kuwabambikia watu kesi za ugaidi bila sababu za msingi. Mipuuzi sana hii mitutusa.Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
View attachment 1862953
Wewe kwanza tengeneza budget yako unayo i fund 100%, halafu pili tengeneza internet yako ya mabua.What does being undemocratic mean to you ?
Implementing whatever any Tom, Duck or Harry requires ?
Or letting them do anything with full impunity just because they are politicians ?
How can you LIVE the REAL you by caring what aothers are saying about you ?
How many social groups are here in Tanzania and why do you think these so-called opposition politicians want a special treatment from the state?
Hii haina uhusiano na uonevu unyanyasaji waliofanyiwa chadema sasaAnapapara nyingi sana mbowe hana maamuzi yaliyotulia 2023 apewe msigwa tu hiki kiti
Pia taasisi hizo hizo zitatambua kuwa kumbe jpm hakua anakosea kuhusu huu upinzani uchwara, tatizo ni upinzani njia wanazotumia kumbe sio mfumoHata mahakama ya uhalifu wa kimataifa ICC sasa wanaanza kuangazia hilo taasisi za haki za binadamu zote wameona uonevu mateso waliofanyiwa wananchi kule mwanza, hii inaenda kumletea chuki kubwa Mama na itaharibu mazuri machache aliyokuwa kaanza kuyafanya
Simuonei huruma. Ni mambo ya kujitakia, halafu kila siku kulia-lia eti anaonewa: Kwani hana akili timamu kugundua hiyo ni kazi ya hatari?Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
View attachment 1862953
Kudai katiba mpya ni chokochoko? hizo katiba mpya Huko nyuma zilidaiwa kwa chokochoko?inaelekea wewe ni mnufaika wa uonevu wa mama kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu sasa huoni kuwa manyanyaso uonevu kwa chadema ni udikitetaNdio maana nilisema Chadema bila hizi hizi chokochoko wanajiona hawajafanya siasa hapa Tanzania, wametafuta kila njia mpaka wamepata walichokitaka et sasa mama nae ni dikteta!