UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Mimi yashanichosha haya mambo najionea upuuzi tu.wamepata walichokitaka, wameongelewa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, Samia ameshapata doa kwenye uongozi wake, alikuwa ameanza kwa kusifiwa na media za nje kwa kuirudisha demokrasia na utawala bora...sasa hivi wanaojiita wanaharakati kama akina Maria wanasherekea kwa sababu relevancy yao inabaki and wanatengeneza mpunga zaidi !