Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

wamepata walichokitaka, wameongelewa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, Samia ameshapata doa kwenye uongozi wake, alikuwa ameanza kwa kusifiwa na media za nje kwa kuirudisha demokrasia na utawala bora...sasa hivi wanaojiita wanaharakati kama akina Maria wanasherekea kwa sababu relevancy yao inabaki and wanatengeneza mpunga zaidi !
Mimi yashanichosha haya mambo najionea upuuzi tu.
 
Washauri wa mama huenda wamepanga njama za kumharibia lakini yeye hajajua undani wake kaingia mkenge kiwepesi sasa jumuia za kimataifa zitamlaani vikali sana
Rais mwanamke wa kwanza Africa kuingia kwenye record ya u dictator.
 
Mimi yashanichosha haya mambo najionea upuuzi tu.
Hiyo ni kula ya watu, wamekuwa "vindicated" kuwa mama ankandamiza upinzani, ni diktekta...angeendelea kuupiga mwingi wangekosa cha kusema, wangekosa mafungu ya hela ya kusukuma hashtag #FreeMbowe #KatibaMpya etc.
 
Mama ilitakiwa apate personal mentor wa kumsaidia kufikiri Ili kumshape na sio hawa wanafiki wapo kazini kumuharibia.
Hii ni michezo inachezwa na jiwe gang.
Wapo kimkakati zaidi 2025.
Siku moja tu ameshawapatia hao wanaojiita wanaharakati kiki ya kutosha...hapo wanaandaa proposal za kupiga mpunga kwa jina la uzalendo na kupigania demokrasia
 
Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Crap!!
 
Rais mwanamke wa kwanza Africa kuingia kwenye record ya u dictator.
Basi hilo neno Dikteta litatumika kwa kila rais atakayekuja kuanzia sasa, ni bahati yao tu hao marais waliyopita hawakupata hilo neno halikutumika. Siasa za Tanzania zinafurahisha sana.
 
Hiyo ni kula ya watu, wamekuwa "vindicated" kuwa mama ankandamiza upinzani, ni diktekta...angeendelea kuupiga mwingi wangekosa cha kusema, wangekosa mafungu ya hela ya kusukuma hashtag #FreeMbowe #KatibaMpya etc.
Ndio maana nilisema Chadema bila hizi hizi chokochoko wanajiona hawajafanya siasa hapa Tanzania, wametafuta kila njia mpaka wamepata walichokitaka et sasa mama nae ni dikteta!
 
What do you mean by "no effect"?

What metrics are you using in a country where practically everything important is afflicted by "no data available"?

Are you so medieval and brute that you don't care even about the country's image?

Have you read Amnesty International's release on the matter?

Can you honestly say this does not have any impact when Tanzania is donor dependent when it comes to fulfilling its budgetary obligations?

Do you want to validate the people who say Tanzania is an undemocratic shithole?
What does being undemocratic mean to you ?

Implementing whatever any Tom, Duck or Harry requires ?

Or letting them do anything with full impunity just because they are politicians ?

How can you LIVE the REAL you by caring what aothers are saying about you ?

How many social groups are here in Tanzania and why do you think these so-called opposition politicians want a special treatment from the state?
 
Gud
nivema afungwe ijulikane kuliko ukuda huo
Ili dunia itukalie vizuri sana FUNGENI MBOWE. Amesachiwa kibali katoa nani chakusachiwa akiwa hayupo
 
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.

kwahio mikopo ispotolewa maisha yetu yanakua magumu? eheheh Long live gaidi mbowe
 
Kwa huu upinzani "nyoronyoro" wenye "ghost supporters" hata kama huyo jamaa yao akinyongwa kabisa hakuna mtu atafanya lolote zaidi ya kukimbilia kulialia online.

Check Kampala inavyochafuka Wine akiguswa na hatua zinazochukuliwa na nchi za Magharibi juu ya maafisa wa usalama wa Uganda.
 
Hakuna cha Siri wala mipango yeyote na Polisiccm hawana taarifa yeyote zaidi ya wewe na wajinga wenzako kutengeneza propaganda na mazingira ya kishamba kidwanzi ili mpate kisingizio cha kuwabambikia kesi, acheni ujinga mungu anawaona, mama alianza vizuri lakini nyinyi wajinga mmemshauri vibaya ataenda kuitia Doa demokrasia ya Tanzania
Mbowe na wenzake wanataka kutuletea vurugu wakati watanzania tumezoea Amani.
yeye na kundi lazima wajue kuwa Amani ya nchi yetu ni ya muhimu zaidi kuliko Mbowe, Lwaitama na wengine.
huwezi kuanza kuhamasisha watu wadai katiba kwa maandamanona kuvunja sheria za nchi.
nchi hii inaongozwa kwa sheria na kila Raia akiwemo Mbowe na wenzake wanatakiwa waheshimu sheria za nchi, mbowe na wenzake hawako juu ya sheria.
 
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.

View attachment 1862953
MiCCM haina hoja. Inachojua tu ni kuwabambikia watu kesi za ugaidi bila sababu za msingi. Mipuuzi sana hii mitutusa.
 
😂😂😂😂😂😁kelele za matanga zimeishia wapi?nyooo
 
What does being undemocratic mean to you ?

Implementing whatever any Tom, Duck or Harry requires ?

Or letting them do anything with full impunity just because they are politicians ?

How can you LIVE the REAL you by caring what aothers are saying about you ?

How many social groups are here in Tanzania and why do you think these so-called opposition politicians want a special treatment from the state?
Wewe kwanza tengeneza budget yako unayo i fund 100%, halafu pili tengeneza internet yako ya mabua.

Kisha uitumie hiyo internet kutoa kauli hizo.

Lakini kama bado unategemea nchi za watu kuanzia budget mpaka internet services, kujikweza kwamba hujali wanachofikiri wengine ni upumbavu mtupu.
 
Hata mahakama ya uhalifu wa kimataifa ICC sasa wanaanza kuangazia hilo taasisi za haki za binadamu zote wameona uonevu mateso waliofanyiwa wananchi kule mwanza, hii inaenda kumletea chuki kubwa Mama na itaharibu mazuri machache aliyokuwa kaanza kuyafanya
Pia taasisi hizo hizo zitatambua kuwa kumbe jpm hakua anakosea kuhusu huu upinzani uchwara, tatizo ni upinzani njia wanazotumia kumbe sio mfumo
 
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.

View attachment 1862953
Simuonei huruma. Ni mambo ya kujitakia, halafu kila siku kulia-lia eti anaonewa: Kwani hana akili timamu kugundua hiyo ni kazi ya hatari?
 
Ndio maana nilisema Chadema bila hizi hizi chokochoko wanajiona hawajafanya siasa hapa Tanzania, wametafuta kila njia mpaka wamepata walichokitaka et sasa mama nae ni dikteta!
Kudai katiba mpya ni chokochoko? hizo katiba mpya Huko nyuma zilidaiwa kwa chokochoko?inaelekea wewe ni mnufaika wa uonevu wa mama kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu sasa huoni kuwa manyanyaso uonevu kwa chadema ni udikiteta
 
Back
Top Bottom