Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

Mh. Mbowe "Naomba nizungumze swala la covid 19, Chadema haijawai kupeleka majina ya wabunge 19 bungeni na hili swala napenda Dunia ifahamu na nilishawai zungumza na wewe pia na leo nimeona ni vyema nirudie kuzungumza hapa"
 
Mbowe is flopping.
Anamualika rais na Mwenyekiti wa CCM na kuanza kukisakama Chama Chake, huku ni kumtengenezea mgogoro rais na Chama Chake.
Nauona huu mkutano hautaisha vyema.
Ni heshima kubwa kumwambia mtu ukweli wako usoni mwake badala ya kuendekeza unafik.

Amandla...
 
Litakua ni jambo jema sana. Ila akijibu kwa mipasho ya kipwani basi Mbowe atatawanyishwa kabisa, kama Tulia alivyomsambaratisha Sugu

Tulia ana Nini zaidi ya kubebwa. Tuache kushabikia uongo. Alishindwa Magufuli ndio ataweza huyo mama yenu?.
 
Mh. Mbowe "Naomba nizungumze swala la covid 19, Chadema haijawai kupeleka majina ya wabunge 19 bungeni na hili swala napenda Dunia ifahamu na nilishawai zungumza na wewe pia na leo nimeona ni vyema nirudie kuzungumza hapa"
Hivi hao covid 19 hawajaona kazi zingine za kufanya mbali na ubunge kwani si kwa kusakamwa huku.Ukiwasikiliza wanapotoa michango yao bungeni wanasisitiza sana suala la vijana kujiajiri .Kwa nini hata wao hayo mawazo ya kujiajiri wasiyafanye practically au ni theory tu hazina uhalisia?
 
Ni heshima kubwa kumwambia mtu ukweli wako usoni mwake badala ya kuendekeza unafik.

Amandla...
Upo sahihi, hiyo itategemea na utayari au ukomavu wa ansyeambiwa. Kibongobongo ni lazima rais akitetee chama chake na hapo ndiyo patawaka.
Ila kama atakuwa na maturity ya kuweza kukiri basi litakuwa jambo jema ila halutamuacha salama ndani ya Chama chake
 
Dah! Kamanda Catherine Ruge! Mashalllah!! 😋

Hiyo picha yako kwenye mapokezi nimei zoom! Wallah, siyo mchezo.
 
Back
Top Bottom