Zitto hata kabla ya kukutana na rais alishawekwa kundi la wasaliti hivyo akikutana naye huo ni muendelezo tu wa usaliti ambao uko ndani yake kitambo, learn how to differentiate things.Angekuwa Zitto na ACT yake angeitwa msaliti
Hii nchi ngumu sana aiseeee
Tujifunze kuupa muda nafasi ili tujiridhishe.
Mkuu chadema ya sasa chini ya mwenyekiti wake itakupa presha ya bure. Jamaa anaangalia kwanza masilahi yake na ya familia yake, nyinyi wengine mmeachwa mtetee chama tu mitandaoni. Wengi mtaishia kulalamika tu lakini hamna ujanja wa kumfanya chochote.
Wanasiasa wakiwa wanaitwa wanalambishwa asali, huwezi kusikia kelele tena za Ajira, mfumko wa Bei wala Bei ya petrol.
Nyumbu Ni nyumbu siku zote
Haya ww endelea kuupa maumivu moyo wako. Kina prof Safari, Mabere Marando na wengine wengi wenye elimu zao na maono yao waliliona hili kitaambo, wakaamua kuwapisha wenye njaa waendelee kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao.
To open up a new chapter as a nation haijawahi kuwa dhambi...
Hili kama ni kweli bac ni jambo jema kwa kila mwenye pumzi..
Narudia tena Political reconciliation ndiyo njia pekee ya kujenga taifa imara lenye umoja na nguvu kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.
Nchi haiwezi kujengwa na mawazo ya upande mmoja.
Hahaha hayo mazuzu achana nayo Kaka.Wakati anaharibiwa shamba lake na kufukuzwa NHC maslahi yake yalikuwa wapi?. Hicho sio kikao Cha Mbowe, ni kikao Cha CCM na serikali pamoja na chadema. Turuhusu watu waongee kwanza baada ya muda mrefu.
SahihiHuwezi dharau chama kilichopata 40% ya kura za urais, mengine yatakuwa makelele tu
Which means uki slide kidogo tu kinakutoa weweHuwezi dharau chama kilichopata 40% ya kura za urais, mengine yatakuwa makelele tu
Wamafurah🤣Huu uzi ukiona negative posts za maneno makali yaliyojaa chuki na uchungu au posts zilizogubikwa na matusi usijiulize wala usishangae kwani hao ni SUKUMA GANG.
Mbona Jpm hata kujaza tu upepo alishindwa. Bora SamiaHuyu samia atakuja kuwageuka 2025 hamtoamini.
Hapa anawajaza tu upepo
Imekuuma. Kwani chadema sio watanzania? au wewe wamekuzuia kuboresha maisha yako?Badala ya kuboresha maisha ya watanzania mnakutana na Chadema.
Sawa maridhiano ni mchakato, but atleast basi wangeanza kuonesha kwa vitendo hata dalili za kufikia muafaka.denooJ kwani unataka mwisho wa siku afanyeje? Aache kukutana na Rais?
Maridhiano ni mchakato (process). Unaweza usiyaone matunda ya kazi hii njema mara moja na papo kwa papo...
Let's be patient..
Surely, I personally see bright future ahead..
It's very difficult. But, surely there's hope..
Nyie mlitakaje kama mazungumzo hayapo? Vita au ugaidi?Mkuu chadema ya sasa chini ya mwenyekiti wake itakupa presha ya bure. Jamaa anaangalia kwanza masilahi yake na ya familia yake, nyinyi wengine mmeachwa mtetee chama tu mitandaoni. Wengi mtaishia kulalamika tu lakini hamna ujanja wa kumfanya chochote.
Mtu bado anakukanyaga makusudi halafu anakwambia usilalamike, bado tupo kwenye meza ya mazungumzo, kuwa mvumilivu!Duh, umegusa 'buttons' zote zenye maumivu kwa CHADEMA katika andiko fupi kabisa!
Acha tusikie yatakayoletwa kwetu juu ya mkutano huo.
Another "Kikosi Kazi"Wanafuata nini ikulu kila mara kama sio kupotezeana muda?