Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
ukiangalia hizo devu zake na hizo nyewele nitofauti kuna zile app unajizeesha unaweza weka mitindo tofauti tofauti ya nyewele na mtu asitambue kirahisi kama sio zako hizo nyewele[emoji16][emoji16][emoji16]kwann unasema hvyo mzee baba
Una lingine?
Kujishusha kwa nani? Ni hekima na busara tu ndivyo vinavyoongelewa hapa na si kwamba mshindi ni nani. Acheni mambo ya ki Primary ligi kila break time ikifika.Watu wanakwambia CDM wamekosea kujishusha, wacheni hato...watu wakikutana kwenye kamati kuu wanafikiria mbali sana!
Kwa hyo wewe umeona kaongea pumba. Akili nyingine ni shida sanaNdani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.
Sasa kama wengine hawana huo ustaarabu na hawaoneshi dalili za kuwa nao unataka kifanyike nini?
hahahaa only that.. ok!Wakumbushwe mara kwa mara....
hahahaa only that.. ok!
Nilikua sijajua ubinafsi wa Wabongo hadi awamu ya 5 ilivyoingia na U turns na kujitoa akili kwa "Nzagamba" wengi wa JF
Yaani sijaelewaga ishu yao ni nini hasa Chadema. Wao si ndo waligoma kumtambua na wakatoka bungeni siku akifungua bunge? Wao si ndo waligoma kuhudhuria mikutano na shuguli alizokuwa akizifanya majimboni mwao? Aliyesema wakamchinjie Magu baharini ni nani? Yaani aliyenuna ndo anataka maridhiano? Kuridhiana ndo nini? Siwaelewi. Yeye aseme anataka msaada wa Magu kuonekana ni muhimu kwenye hili taifa ili watete matumbo yao 2020, huku wameoka kuwakosesha makambanda wao wengi ulaji ambao wangepata ajira kwenye serikali za mitaa. Hivi mtu kama yule aliyekuwa meya wa Ubungo akikosa ubunge 2020, kile kitambi atakilisha nini?Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru:
Mheshimiwa Rais,
Waheshimiwa viongozi wote mlioko mahali hapa,
Waheshimiwa watanzania wenzangu!
Nimekuja kushiriki sherehe za miaka 58 ya Uhuru kama uthibitisho wa ulazima wa kuwepo maridhiano, kuwepo upendo, na kuwepo mshikamano katika Taifa letu.
Nawapongeza sana watanzania kwa siku hii ya leo na ninamuomba Mwenyezi Mungu siku ya leo ikafungue milango tuweze kuishi kama Taifa linalopendana, tuvumiliane, tukosoane, turuhusu demokrasia. Tukajenge Taifa lenye upendo na mshikamano.
Na Mheshimiwa Rais una nafasi ya kipekee kuweka historia ya maridhiano katika Taifa kwani kuna wengine wanalalamika, wengine wanaumia. Basi Mheshimiwa Rais tumia nafasi hiyo ukaliweke Taifa katika hali ya utengamano.
Nakushukuri sana. Asante sana.
_____________
Hotuba fupi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na KUB, Mh *Freeman Mbowe* katika sherehe za maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika, zilizofanyika Jijini Mwanza leo 9 Disemba 2019
View attachment 1286525
Naunga mkono hoja!
Hata mimi sikuelewa Freeman Mbowe anazungumzia maridhiano ya nini!
Wewe lazima usielewe hata sikushangai, mleta mada anataka mpaka yatokee majanga zaidi ndio tutafute maridhiano, sasa hivi hizi kesi wanazobambikiwa wapinzani na kuharibiwa mali zao ( Mbowe) kwake ni vitu vidogo tu, hajui kama vinachochea chuki kati ya kundi moja na jingine kwenye jamii, yeye anataka tuendelee kuwakumbusha tu huku mkizidi kuumiza wengine kila kukicha!Naunga mkono hoja!
Hata mimi sikuelewa Freeman Mbowe anazungumzia maridhiano ya nini!
Ndani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.