Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtbui,bungeni alipienda Kama Raisi walitoka kumkataa.
Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.
Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Acha upotoshaji ww mpuuzi, cdm walisema hawatambui uchaguzi wa Zanzibar, na kilichowafanya bungeni ni kwakuwa Dr. Shein alishiriki ufunguzi ule wa bunge. Hata hivyo ushindi wa Magufuli ilikuwa ni utata mtupu. Nampongeza sana Zitto kutoshiriki hiyo sherehe na wahuni. Naalani viongozi wa cdm kushiriki kwenye sherehe pamoja na wahuni wanaonajisi demokrasia yetu.