Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtbui,bungeni alipienda Kama Raisi walitoka kumkataa.
Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.
Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Mateso kwa watumishi wa umma miaka 4 hakuna nyongeza.
Fafanua hili somo; charity should begin at home- CHADEMA tufanye maridhiano na Wilbroad kwanzaMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano
Wanatafuta mkateLeo mnamtambua kuwa magufuli ni raisi? Ila kwenye kuapishwa kwake mligomea
Acha ujinga wa kuropoka Uzushi wewe
jomba umefikiria mbali sana..na ni ukweli mtupu wengine tulishasahau..you have a point hereLini tuchadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.
Watoe kwanaza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.
Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
hahahahahahahhaNdani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.
Maridhiano ni lazima na muhimu. Chama changu cha CCM, kikigomea usuluhisho, tutapata pigo kubwa kisiasa na tutakosa sifa.
Inajulikana kuwa CDM wanahitaji kujikosha na makosa yao ya kisiasa, wanahitaji wakati wa kupumua na kujitafakari.
Wapewe hiyo nafasi ni haki yao, upinzani madhubuti na wenye muelekeo ni tija kwa chama tawala.
Acha uongo, chadema walitamka hadharani kutotambua matokeo na kutomtambua raisi na hadi siku ya kuapishwa hawakuhudhuria! Tatizo lenu wasahaulifu sanaAcha upotoshaji ww mpuuzi, cdm walisema hawatambui uchaguzi wa Zanzibar, na kilichowafanya bungeni ni kwakuwa Dr. Shein alishiriki ufunguzi ule wa bunge. Hata hivyo ushindi wa Magufuli ilikuwa ni utata mtupu. Nampongeza sana Zitto kutoshiriki hiyo sherehe na wahuni. Naalani viongozi wa cdm kushiriki kwenye sherehe pamoja na wahuni wanaonajisi demokrasia yetu.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano
Mpuuzi ni wewe unaekesha mtandaoni humu kuimba mapambio ya Ufipa..wakati viongozi wako wanagonga mvinyo na sato Mwanza..Acha upotoshaji ww mpuuzi, cdm walisema hawatambui uchaguzi wa Zanzibar, na kilichowafanya bungeni ni kwakuwa Dr. Shein alishiriki ufunguzi ule wa bunge. Hata hivyo ushindi wa Magufuli ilikuwa ni utata mtupu. Nampongeza sana Zitto kutoshiriki hiyo sherehe na wahuni. Naalani viongozi wa cdm kushiriki kwenye sherehe pamoja na wahuni wanaonajisi demokrasia yetu.
We kama naniEither with us or against us, hakuna maridhiano na wasaliti.
Ndani ya CDM mbona hakuna maridhiano mpaka wazee waandamizi Safari na Sumaye wameamua kujiweka kando..? Angeanza ndani kwanza.
Nakubaliana na WeweKati ya Viongozi wa Upinzani waliopewa nafasi ya kuzungumza Mhe. Mbowe ndiye amefunika wote kiukweli!
Ameongea kifupi lakini Hoja yake ni nzito na ina mashiko! Hii inakwenda kuwasha moto wa another BBI in Tanzania!
Hapa Magufuli ametegewa mtego wa kiufundi sana! Hiki kitakuwa kipimo kingine tosha kwa Urais wake. Tayari Uchaguzi wa SM umezidi kutia doa Utawala wake wa kibabe!
Kuna mmja alibakia kuongea kisukuma tu paleKati ya Viongozi wa Upinzani waliopewa nafasi ya kuzungumza Mhe. Mbowe ndiye amefunika wote kiukweli!
Ameongea kifupi lakini Hoja yake ni nzito na ina mashiko! Hii inakwenda kuwasha moto wa another BBI in Tanzania!
Hapa Magufuli ametegewa mtego wa kiufundi sana! Hiki kitakuwa kipimo kingine tosha kwa Urais wake. Tayari Uchaguzi wa SM umezidi kutia doa Utawala wake wa kibabe!
Nchi ni yetu site.....nadhani kuja kitu kizuri kibakuja kama nchi.
Japo naona Zitto anabwabwaja sana mitandao ni,ila wenzake wanaonyesha ukomavu wa kisiasa
Acha uongo, chadema walitamka hadharani kutotambua matokeo na kutomtambua raisi na hadi siku ya kuapishwa hawakuhudhuria! Tatizo lenu wasahaulifu sana
pumbavu kabisa we livuvuzeraEither with us or against us, hakuna maridhiano na wasaliti.