Mkuu mzima ?
Naona unalamba asali kimya kimya.
Shetani na mamamkwe wake ni vilio tu leo
Simba wajitahidi jamaa wasiongeze bao,safari bado sana
thithi tutalipa tu kithathi.Labda wampulizie dawa ππ
Glory be to Godπ€π€π€πͺπͺπΊπΊ!Full time
Al Masry 2
Simba 0
Hivi Bongo kuna nn? Mbna hata hao professional Player sioni ushawishi wao ktk maamuzi ya ushinikizo? Mbna wenzao wanajua kutumia fursa wafaidike.Nimapuuzi kupita maelezo walitakiwa wote kumzonga refa Hadi aangalie var
Sasa wale utawalinganisha na hii mikebe ya ugoro mliyocheza nayo? Mnajielewa kweli nyie!Vp wale waarabu mlioshindwa kuwafunga kwa mkapa??
Wazee wafupi walienda nao ila bahati mbaya walisahau kubeba na mbuzi πππππππππππJaman kwani hawakwenda na wazee wafupi huko au imekwaje?
π€£π€£π€£ "tutavuka".Hamu yote ya robo imekata. π π π