Mimi naona heri wangekubali kukatwa point 3 lakini kama wanataka majanga waendelee kun'ga'ngania mechi iludiwe,watapata aibu ya mwaka
 
Ufala upi? Uwezo wa wachezaji ndo huo, mistake kumlaumu baba wa watu, Kibu, Kagoma, hawa unawaweka kwenye kosi la mtoano? Unataka nn?
Shida kibu dennis na kocha kushindwa kucheza na sub.

Kagoma kacheza vixuri sana
 
Ukicheza na mwarabu Kila chance TATU hakikisha Moja au mbili ziwe Goli. Ukizikosa, unawaamsha na wanakuadhibu. Shida ya mnyama Leo ni kushindwa kuconvert chances kuwa magoli. Poleni ndugu zetu, ndio ukubwa huo.
 
Huwa nafurahi sana nikiona makolo wakiteseka, ukweli ni kwamba mna timu mbovu sana, ijapokua mmefanyiwa uhuni wa kunyimwa penati ya wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…