Ina maana mimi sioni? Haya ni maeno yako nina kunukuu "Camara kauza game kwa bahati mbaya au bet" halafu unakuja kukataa kuwa hukusema kauza.
Kwa hiyo nikisema kauza utakataa? yale magoal ya kufungwa kipa? international player
 
Sasa hawa ndio mashabiki wa Simba ninaowajua mimi.

Bado Mangungu.
 
MI Nawaambiaga haya mashindano Timu za Tanzania zinaonewagwa.. Kwanini VAR haikuangaliwa kipindi Yanga na mamelod na safari hii Simba nao wamekutana nacho
VAR iliangaliwa mkuu usitake kupotosha. Sio lazima mwamuzi wa kati akaangalie Screen ndio uconclude VAR imetumika.

Lalamika kuhusu maamuzi.
 
Yaccine wametuwekea mashindano ya magari

Fawanews wametuwekea heading mechi ya Simba lakini maudhui ya ndani ni Usm Alger na Constantine
Mkuu fawanews unaipata vipi saivi? Mimi kila nikifungua inaleta ishu za https error
 
Aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…