FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Kuna haja ya wachezaji wa simba kupimwa mkojo. Hiyo stamina ya, mfano, kibichwaswala kuwakalisha wachezaji wanne hadi na kipa bora Africa, Duguji Dyara, ameipata wapi?
 
Muda wa sasa sio wa kucheza dk 90. Ni kama chama kwa Simba!
Mechi jana ukitizama yeye kwa kiasi kikubwa ndiye aliyekuwa anadeal na Aura na Mpanzu akisaidiana na Yao na ndio maana hakuwa anapanda mbele sana sababu timu ilizidiwa,Ngoma sio mkabaji.
 
Unaota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…