FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Screenshot_20240406-084958.png
 
Kwa goal line tech ni lazima mpira uvuke 100% ndio liwe goal sio 80%
Kuvuka 100% kunaangaliwa kiwango gani cha mstari??
Mpira ukiwa umegusa ndani zaidi ya 80% ya mstari mkuu ushaingia ndani huo.
Kwani goli la Messi world cup liliamuliwajwe??
Tizama hiyo picha ni demo ya FIFA tizama na hiyo video je haikustahili kuwa goli??
Basi tuseme sawa uvuke 100%,tizama demo ya Fifa na hivyo video uvukaji wa mpira umetofautiana wapi??
Screenshot_2024-04-06-08-24-34-85_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Aziz ki, Job, na bacca ndo walipangwa wainyime yanga ushindi na watoleweee?

Diarra si alikua anapoteza muda ili waende matuta, anamjua Williams au anamsikia?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa tu ila chuma kimelia hata kama wamekataa
 
Kama akili zenyewe ndio hizi, ningekuwa Rage ningewatia vidole na kuwanusisha mashabiki wote wa Simba nchi nzima maana ni zaidi ya Mambumbumbu. Haya ni misukule kabisa.
Bro usibishane na huyo jamaa.
We unamuona ni mzima huyo??
Achana nae ni mbishani na hana hoja ama hajui kujenga hoja anaropoka tuu ujinga ujinga.
Hajui kama mechi ikiisha kuna review inafanyika na kugundulika makosa ya muamuzi yaliofanyika.
Hajui kama refa alochezesha fainali ya kombe la dunia Argentina vs France alikutwa na makosa takriban 13+ ikiwemo penati ya pili alopewa Mbappe.
Achana nae Fala huyo jamaa.
 
Kila mwenye akili timamu amejionea uonevu kwa timu za Tanzania,,, yanga kanyimwa clear goal, lakini pia Simba kanyimwa clear penalty ya kibu d.

Kinachowezekana kufanywa Africa kihalali ni ngono tu huku kwingine kote zero kabisa
Hakuna Uonevu wowote..
GOLI la yanga na hili tofauti yake ni nini??
 
Mmezoea kuvinyonga nyonga vitimu vya nbc kwa magoli yenu ya mchongo mkajua nahuko itakuwa hivo? Mpira hadi uguse wavu. Tuone kabisa kitu kinatingishika kwenye nyavu. 😀😀

Vilio na kilio vipelekeni dodoma

Jambo la msingi na la muhimu ni Yanga kutolewa......hayo mengine ni upuuzi........mji ungekuwa mgumu sana huu.......dah!!
huku ni kukosa uzalendo au ni seme exposure kwa hali ya juu
Watu hawajui kwamba, timu ikipita inatangaza Nchi na hivyo kutunufaisha kiuchumi; Mnawazia tu usimba na Uyanga!
Na hiki ndicho kilifanya waafrika wakatawaliwa na wazungu kwa kuwa wengi hawana maarifa!!!
 
Kila mwenye akili timamu amejionea uonevu kwa timu za Tanzania,,, yanga kanyimwa clear goal, lakini pia Simba kanyimwa clear penalty ya kibu d.

Kinachowezekana kufanywa Africa kihalali ni ngono tu huku kwingine kote zero kabisa
🤣🤣🤣🤣 Waafrika tujikite kwenye ngono tuu huko kwengine tunaforce mambo
 
Aziz ki, Job, na bacca ndo walipangwa wainyime yanga ushindi na watoleweee?

Diarra si alikua anapoteza muda ili waende matuta, anamjua Williams au anamsikia?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa unachambua mpira weka ushabiki pembeni, sema uhalisia vinginevyo hakuna unachokifanya.
 
Usitudanganye bhana nani asiyejua hiyo tech?
Goal line tech inaeleza asilimia 80 ya circumference ya mpira ikivuka goal line hilo ni goli.
WEWE MPAKA KIVULI CHA MPIRA KILIKUA NDANI UTASEMAJE SIO GOLI!?
Refa foul alikua akienda kutizama video zake mbona goli hakuenda tizama aamue!?
Refa alijua huu nikienda kuangalia var itakuwa msala.
 
huku ni kukosa uzalendo au ni seme exposure kwa hali ya juu
Watu hawajui kwamba, timu ikipita inatangaza Nchi na hivyo kutunufaisha kiuchumi; Mnawazia tu usimba na Uyanga!
Na hiki ndicho kilifanya waafrika wakatawaliwa na wazungu kwa kuwa wengi hawana maarifa!!!
Ni bora tukose sifa kuliko kuvumilia matusi na masimango ya Yanga ingetinga nusu fainali......
 
Back
Top Bottom