Bado goli halijaingia kuna mtu kapigwa toboKuna kelele
Subiri kidogoKuna kelele
Wamekata mkuu...Wamekata?
Huyu angeendelea tu kutokea pembeni. Na siyo kuchezeshwa kama mshambuliaji wa katikati. Maana tofauti yake na Mzize kwenye utulivu, ni ndogo sana.Musonda anahitaji afanyiwe counselling [emoji1787]