FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Tunawatoboa tena mawili jumapili
Yanga hii inaingia kwenye derby si kama ilivyoingia kwenye ligi,na watu wa try again na yule agent wa kikongo wote tumesafisha bila kujali uwezo wao,atuingii kama tunaenda kucheza na mcc tunaingia kama derby safari hii
 
Walau ungesema machache juu ya arguments zangu kuliko kukimbilia mipasho
Kwasababu una utopolo mwingi,hii simba ndo iliyoikanda yanga mabao mawili ikiwa kwenye pick
 
Hakuna ubunifu kwenye eneo la mwisho.Wachezaji wanakabika kirahisi, pia physical fitness si ya kuridhisha. Timu ita-struggle sana kupata matokeo pindi itakapocheza na wakamiaji. Average team
hili halipingiki mkuu
 

Attachments

  • FB_IMG_16915879177611930.jpg
    FB_IMG_16915879177611930.jpg
    18.2 KB · Views: 1
MALALAMIKO FC..... Imerudi Rasmi msimu huu 2023/2024.

Maana Haitatoboa Kwa jinsi walivyosajili hovyo hovyo...na Kumleta mkulima Wa Matikiti maji Kutoka Argentina na kudai ni Kocha mzuri Kumbe ni Mlima Water Melons.
 
Back
Top Bottom